Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
ila siku ya Leo ume fanya maangamizi, maana ninacho kiona siyo mashambulizi.Sote ni watu lakini wengine wana tabia za ngedere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila siku ya Leo ume fanya maangamizi, maana ninacho kiona siyo mashambulizi.Sote ni watu lakini wengine wana tabia za ngedere.
"Sometime you gotta pop up and show niggaz" - K.Dot "Not Like Us" 😂😂ila siku ya Leo ume fanya maangamizi, maana ninacho kiona siyo mashambulizi.
Kumbe ni shabiki wa hip hop, tena team k dot."Sometime you gotta pop up and show niggaz" - K.Dot "Not Like Us" 😂😂
Exactly 💯..... Tutaonekana wambeya ila kuna kitu hapa Kati Watu huku nyuma tunataka wajifunzeAllow us call a spade a spade
We are saying what we can see and it matters cause we want to learn from Aziz k mistake
Kachafukwa leo 🤣Kiranga aisee taratibu mkuu, sote ni watu
Halafu huwa ana niuliza, Eti kwanini namuonaga mkorofi🤣Kachafukwa leo 🤣
Ngoja tuone yatakayotokeaExactly 💯..... Tutaonekana wambeya ila kuna kitu hapa Kati Watu huku nyuma tunataka wajifunze
MKuu hebu kirudie kusoma vizuri ulichoandika sio kwa ubaya lakiniHamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
Na kweli, wakupatie namba bhana za waganga wao. Mbona wachezaji mastaa ni wengi tu. Waache porojoMnapiga porojo tu hapa. Namba za mganga tafadhali..
Hivi kuna staa gani mwingine zaidi ya samata maana siwajui😅😅Na kweli, wakupatie namba bhana za waganga wao. Mbona wachezaji mastaa ni wengi tu. Waache porojo
Hahahaha,mtawamalizaHivi kuna staa gani mwingine zaidi ya samata maana siwajui😅😅
Ustaa wa mtu unategemea watu walivyoamua kujitoa ufahamu kumpamba kupitia vyombo vya habari. Sometimes kukidhi malengo yao.Hivi kuna staa gani mwingine zaidi ya samata maana siwajui😅😅
Ustaa wa mtu unategemea watu walivyoamua kujitoa ufahamu kumpamba kupitia vyombo vya habari. Sometimes kukidhi malengo yao.Hivi kuna staa gani mwingine zaidi ya samata maana siwajui😅😅
Labda wanaona waoaji wenye mbwembwe kubwa mfano wa Azizi K wanaharibu soko lo ndoa kwa kupandisha juu sana maturation ya mabinti.Kuna watu wanaandika kama wamekasirika walitaka waolewe wao vile.
Waachieni watu waoe au waolewe wanavyotaka.
Kuwaingilia kwenye maamuzi yao hayo ni ushamba tu.
acha mapepeHii nchi ina watu wa hovyo! wanaoana wengine maumivu wanapata wengine
Sio kila Ndoa ni Ndoa nyingine ni "MUVI"ugonile,
Ntakua wa mwisho kuamini kuwa Aziz Ki kafanya maamuzi ya kufunga ndoa na Hamisa bila kupigwa juju
Wanawake wengi wa kibongo wanatabia kwamba wakipata mchumba au danga lenye vijisenti wanamwendea kwa mganga ili wasiachike, wapo tayari kuwashirikisha hata mama zao ilo suala ili mambo yaende sawa. nakumbuka nmewahi kuwa na demu kutokea mbeya huko alitaka kuniletea huu upuuzi nikagundua mapema nikampiga chini.
Wanawake wa kibongo wakipata jimbo jipya lenye vijisenti au lipo kitengo wapo radhi wakope pesa kikoba wafunge safari na shoga zao kutafuta mganga wa kuweza kuwasaidia kushikilia ilo jimbo pasina kutiliwa shaka wala vikwazo vyovyote.
Wanaume wenzangu tuweni makini sana na hawa dada zetu, kwa ambao mlikua hamjui ayo mambo naisi mmejionea wenyewe kupitia Aziz Ki.
imagine mahari eti fuso mbili za ng`ombe na kama haitoshi akaongeza tena pesa taslim milioni 30, aisee huu ni uchawi wa kiwango cha SGR
STAY ALERT.!