Watu wanajiona kama wanamjua celebrity, kama rafiki yao, kama ndugu yao.huko mtaani kume kuwa na watu wengi Wana mahusiano ya hovyo, ila huta sikia yaki waki zungumziwa kupita kiasi.
ila kisa ni celebrity, ndio mna jipa uhuru wa kuwa pangia lipi ni bora!.
grow up little fella, the world and it's people doesn't revolve or evolve around you.
Hakuna lugha inaitwa kizungu mkuu.Umekerwaa hadi kizungu!
yaani wewe una jua kuhusu maamuzi yangu?, your insanity has reached on its peaknajua huezi kuoa so acha kutupotezea time unless hujielewi
subiri siku upigwe ndumba ndo akili itakukaa sawa.Wabongo wanakuza sana hilo neno ndumba ,mtaendelea kuibiwa sana hamna ndumba wala ukwaju.
Mapenzi yenyewe ni uchizi ,mnamkumbuka yule jamaa wa Hamida na yule wa zulfa ,pia kuna clip jamaa anaitwa Mawazo aliachwa ikawa analia hataki kula.
Mapenzi hatari sana unaweza kujenga ukweli bila ya kupenda ila hakuna ndumba.
Kumbe nae yumo kama hayumo!Vipi na wewe Ume rogwa?
View attachment 3238919
Si ajabu Azizi Ki hajawahi kua na pisi kali namna ile.Hamna cha ushirikina au ndumba, ni tamaa za wanaume kufikiri kwamba wanawake wana jipya la kuwapa, ingekua hivo Mo na Bakresa kila wiki wangekua wana oa wa bongo wenye kufanya ndumba.
sijarogwa ndo maana sikurupuki, acha kutetea ufalaVipi na wewe Ume rogwa?
View attachment 3238919
Haya BwanaHakuna lugha inaitwa kizungu mkuu.
Ni ujinga wa watu tu wanasema hivyo.
ni mwehu tu anae tafuta popularityKumbe nae yumo kama hayumo!
acha mapepeyaani wewe una jua kuhusu maamuzi yangu?, your insanity has reached on its peak
Allow us call a spade a spadeWhy does it matter to you if Aziz marries Hamisa or not?
You are not the one getting married, so why does it matter to you?
Your family is not paying for this wedding, so why does it matter to you?
Aziz k alipokelewa vizuri na Hamisa kama ulikuwa hujui ,walikuwa na ukaribu muda mrefu sana kafundishwa mambo mengi .subiri siku upigwe ndumba ndo akili itakukaa sawa.
ndumba kwenye quran imeongelewa kwenye bible imeongelewa wewe ni nani upinge?
Wewe mtoto mdogo huna ulijuwalo, hakunaga ndoa ya upande mmoja wakati mwamaume ana ndugu na wazazi na ana kwao.Wabongo wanakuza sana hilo neno ndumba ,mtaendelea kuibiwa sana hamna ndumba wala ukwaju.
Mapenzi yenyewe ni uchizi ,mnamkumbuka yule jamaa wa Hamida na yule wa zulfa ,pia kuna clip jamaa anaitwa Mawazo aliachwa ikawa analia hataki kula.
Mapenzi hatari sana unaweza kujenga ukweli bila ya kupenda ila hakuna ndumba.
Bila kipaji Aziz hawezi kumiliki pisi kali, wanawake wengi sasa hivi ni wajasiliamwili tu.Si ajabu Azizi Ki hajawahi kua na pisi kali namna ile.