Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

huko mtaani kume kuwa na watu wengi Wana mahusiano ya hovyo, ila huta sikia yaki waki zungumziwa kupita kiasi.

ila kisa ni celebrity, ndio mna jipa uhuru wa kuwa pangia lipi ni bora!.

grow up little fella, the world and it's people doesn't revolve or evolve around you.
Watu wanajiona kama wanamjua celebrity, kama rafiki yao, kama ndugu yao.

Wakati hawamjui na yeye hawajui.
 
Vipi na wewe Ume rogwa?
Screenshot_20250217-091458_1.jpg
 
Wabongo wanakuza sana hilo neno ndumba ,mtaendelea kuibiwa sana hamna ndumba wala ukwaju.

Mapenzi yenyewe ni uchizi ,mnamkumbuka yule jamaa wa Hamida na yule wa zulfa ,pia kuna clip jamaa anaitwa Mawazo aliachwa ikawa analia hataki kula.

Mapenzi hatari sana unaweza kujenga ukweli bila ya kupenda ila hakuna ndumba.
subiri siku upigwe ndumba ndo akili itakukaa sawa.

ndumba kwenye quran imeongelewa kwenye bible imeongelewa wewe ni nani upinge?
 
Why does it matter to you if Aziz marries Hamisa or not?

You are not the one getting married, so why does it matter to you?

Your family is not paying for this wedding, so why does it matter to you?
Allow us call a spade a spade
We are saying what we can see and it matters cause we want to learn from Aziz k mistake
 
subiri siku upigwe ndumba ndo akili itakukaa sawa.

ndumba kwenye quran imeongelewa kwenye bible imeongelewa wewe ni nani upinge?
Aziz k alipokelewa vizuri na Hamisa kama ulikuwa hujui ,walikuwa na ukaribu muda mrefu sana kafundishwa mambo mengi .

Hata wakiachana bora wamehalalisha ,wajinga ni wale waliomzalisha na kumtupa kama wangemuoa angetulia tangu kwa Majizzo.
 
Wabongo wanakuza sana hilo neno ndumba ,mtaendelea kuibiwa sana hamna ndumba wala ukwaju.

Mapenzi yenyewe ni uchizi ,mnamkumbuka yule jamaa wa Hamida na yule wa zulfa ,pia kuna clip jamaa anaitwa Mawazo aliachwa ikawa analia hataki kula.

Mapenzi hatari sana unaweza kujenga ukweli bila ya kupenda ila hakuna ndumba.
Wewe mtoto mdogo huna ulijuwalo, hakunaga ndoa ya upande mmoja wakati mwamaume ana ndugu na wazazi na ana kwao.

Zile pesa alizowapiga Yanga ndio anapukutishwa sasa mdogo mdogo.

Hakuna mchezaji katika historia ya Yanga aliyechukuwa signing fee kubwa kams Aziz Ki, na mama yake alikuwepo, jiulize kwa nini asiwepo kwenye harusi?
 
Mbona watu wamekasirika sana..

Shida ni nini

Kwani Aziz Ki ndio mwanaume mwenye pesa, maarufu au mvuto kati ya exes wa hamisa kiasi kumuoa iwe issue kubwa ?..

Na isitoshe waliofunga ndo wameamua kwa utashi wao na kama kuachana ku po ni sawa pia maana hata sasa mitaani kuna ndoa nyingi sana za futari na Ramadhan ikiisha nazo zitaisha.

Yani hii issue inaonekana imewauma wengi sana kwenye personal level
 
Back
Top Bottom