Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ataishi naye kwa mwaka anaomba talaka anarudi kusimamia mradi wa ng'ombe na ile Mil 30 ni mtaji tosha maisha yanaendeleaimagine mahari eti fuso mbili za ng`ombe na kama hazitoshi akaongeza tena pesa taslim milioni 30, aisee huu ni uchawi wa wazi