Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Kilichotokea kwa Aziz Ki kimenifanya niamini kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa kibongo wanatumia ndumba kwenye mahusiano

Wewe unasumbuliwa na ushamba, Hamisa ni maarufu tu.

Wakiitwa mademu wakali watoke mbele Hamisa anasubili, labda wewe hautembei.
Wee cheki tako hilo bwana
Wee akikuvulia hutombiii? Mwanau.e ambaye atakataa kumtomba mobeto huyo ni ngeseli
 
Kila mtu kaona kitu kwa mwenzake, sidhani kama Azizi atakua hajui background ya mwenzie pamoja na tech yote hii.
Hilo ndilo watu wanalisahau. Hamisa kumjua ni issue ya kuingia insta na YouTube kwa hiyo Aziz kaoa mtu anaemjua pamoja na madhaifu yake

Lakini kikubwa yeye ndiye anamjua hamisa nje ya mtandao na kaona anastahili kuwa mkewe.

Japo hata mimi nilikuwa na mashaka kama hii sio promo tu lakini kama wameoana ni sawa tu
 
unaongea kama mtu alokunywa uji wa dengu, wanaume hatupo ivo

na kitu kingine usichokijua ni kuwa wanaume hatutumii hisia linapokuja suala la kuoa, ukiona mwanaume kaoa kwa kutumia hisia mfano kusitiri vibibi au vichangudoa ujue ndumba imehusika kwa sana na ulimbukeni kwa mbali
Wanaume ni wingi sema huko kwenu ,unaonesha hasira ni wivu tu ..Hamisa ni binadamu kama wewe hana kosa ,ana haki ya kuolewa na huwezi kufanya chochote.

Too much expectations kill, ulitegemea ni uongo basi jamaa alimaanisha na ndoa ishapita .
 
Hamisa alifumwa kwa mganga akimloga Diamond ili amuoe.
Uzuri alipoulizwa alikubali kua alienda kweli kufanya ndumba.
Hatari na nusu...

Ndio maana Diamond aliandika mashairi ya wimbo wa "Niache" na aliuimba wimbo huu kwa hasira sana.

Inasemekana aliandika wimbo huu wa "Niache" baada ya Hamisa Mobeto kumfanyia tukio baya. Kuna mstari katika wimbo huu Diamond anamuuliza Hamisa Mobeto kama ungo alivunja mori au alivunja sahani!!!
 
Acheni makasiriio tafuteni Hela kutwa kudiscuss maisha ya watu ukute hapo ulipo hata bando la kuingua jf umekopa songesha wanaume wa bongo mna shida sana mbona wazungu hawana mambo hayo ndio maan wanaendelea mfano mzuri raisi wa ufaransa mbona ameoa kibibi kabisa hata mwanae wa kambo ni mkubwa kwake na pesa anayo nyie maskini wenzangu kutwa mnawashwa mlitaka muolewe nyie au acheni hasira bwana
 
nyie new members %kubwa hamjielewi, jua la saa 3 tu lishayeyusha akili zote ikifika mchana utakua zezeta.

we unaona yule rais wa ufaransa anajielewa? af nani alikwambia pesa zinatafutwa? rubbish.!
 
Bila kipaji Aziz hawezi kumiliki pisi kali, wanawake wengi sasa hivi ni wajasiliamwili tu.
Ukweli hàta kama una hela Hamisa ni pisi ya kuchapà na kumpa chake unasepa, siyo kuoa. Ile ni public property. Si unaona Christine, shusho? Kukaa kwenye ndoa haiwezekani ni mali ya umma pia.
 
Back
Top Bottom