Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

Mtoa mada labda ww hata kijijini kwenu tu hawakujui au hawakufahmu watu wote, hivyo naelewa unapata ugumu sana na uvundo wa akili iweje mtu kama Mh. Rais Mstaafu Mkapa anaagwa siku 3 mfululizo na Taifa zima, yaani najua concern yako, yaani huelewi iweje mtu anaepelekwa na kurudishwa siku 3 na kwanini isiwe siku moja tu..

Jibu:

Ukiwa Rais, ww ni mtu wa Taifa na Kimataifa, yaani Rais sio kama ww mtoa mada unaagwa na watu 2 au 10 au hata ukifa kwa imani ya dini yako unazikwa haraka sana siku inyofuata kwa speed na tunakusahau, kwanza imani yako inakuminya uwezo wako wa kufikiri kwani waislam huzika haraka haraka kama wanamfukuza marehemu aondoke haraka, hivyo unapata taabu kwanini Mzee Mkapa unaona kwa fikira hizo alicheleweshwa kuzikwa, pili mlengo wako wa kisiasa unakusumbua sana, hivyo una motive behind hii mada, nikwambie tu, Mh. Mkapa ni Rais Mstaafu, hivyo kila mwananchi if possible ingefaa amuage.. Ila sbb hilo ni gumu ndani ya siku 3 walau wananchi wote wengi kwa kadiri watakuwa walimuaga kuwakilisha wenzao.. Yaani nimekujibu kwa nidhamu sana sbb huwa nina majibu very vocal, aggressive and insulting to the highest point.
 
Back
Top Bottom