Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akifa hajui lolote, kumbukumbu yake hupotea mara!!Ni kumtesa marehemu
Pia tuna-buy time ili kule kijijini mazingira ya nyumba yarekebishwe faster.
Hakika mkuu, designer wa dressing code ya mama amefeli big timeNingekuwa familia hiyo mama angevaa white gown na vail kama bibi harusi japo nguo iwe ndefu tu ya kawaida. Ni harusi ya mwisho kwa mumewe.
kwa kweli hakuna mtu wa kukubali hivyo ni vile hakuwa na jinsi ya kusema tu kwamba hali ile ya safari asubuhi na jioni ilikuwa inachosha sana kwake.Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.
Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Jr[emoji769]
lete ushahidiWakati wa mwalimu Nyerere mwili ulibaki uwanjani watu waliaga usiku na mchana
Hivi kumbe huyu ndiye yule? Au alivutiwa mshiko akatuliza mzuka? Kama ni hivyo basi hafaiTupe mrejesho kuhusu kiyashtaki makampuni ya simu kabla ya kurukia misiba ya watu....
Hata tungepewa siku 7 isingetosha kwa kuuaga mwili wa marehemu kulingana na idadi ya watanzania iliyopo.Kwani kulala uwanjani na kulala ndani ipi ni heshima kubwa? Alale pale uwanjani ili nani aage usiku huo?
Angepewa sikumoja unazani ingetosha? , Tafakari vizuri.
Umejibu vyema sana... na mimi naomba nikazie... sijui umri wake lakini anaweza kuwa alikuwa na miaka 10 kiumri Chief au alikuwa nje ya nchi majukumu mengi au kalazwa hospital kufuatilia shida. A lot of possibilities.
Kama una cha kupost unyamazelete ushahidi
Ha ha ha ha acha hizo mzeeUmejibu vyema sana... na mimi naomba nikazie
Ninamuomba Bwana Saint Ivuga na atuambie mazishi ya Abraham Lincoln yalikuwaje tafadhali