Ahsante sana Mh. Wakili. Nadhani tatizo ni kutokuwa mwongozo rasmi (Katiba/kanuni) ambayo ingeainisha nini kifanyike. Ukifikiri kwa makini peleka rudisha mwili hiyo "TUMSHUKURU MUNGU NI MWEMA LIMEPITA SALAMA" Jana niliweka mada (ilifutwa/hamishwa) lengo ilikuwa kuhadharisha kwamba "TUNAWAPENDA SANA WAPENDWA WETU WANAOTANGULIA MBELE YA HAKI.
LAKINI LAZIMA TUWE NA JICHO PANA ZAIDI KATIKA KUWAENZI MIMI NILIJIKITA KATIKA ZILE SIKU ZA KUMBUKUMBU ZA KUWAENZI ILI TUONE UTARATIBU BORA ZAIDI KULIKO SIKU HIZO KUWA "HOLIDAYS....". NA HAIKUTOSHA NIKAKUMBUSHIA ZAMANI TULIKUWA NA SIKUKUU YA MASHUJAA..." Niliuliza Je tukienda hivyo kwa miaka mbili na zaidi ijayo itakuwaje? Kwa sasa naamini tunayo nafasi ya kubadilika kutokana Namba Moja wetu kuwa MTUBUTU NA MWENYE MAAMUZI
POLE KWA RAIS WETU, POLE KWA FAMILIA YA MZEE MKAPA, POLE KWETU WATANZANIA.
R.I.P MZEE MKAPA