Ni mume mzazi babu kaka shemeji nk huwezi ukawa unazungusha mtu mortuary uewanja mtu akitolewa mortuary anaenda kuzikwa ujinga huo ukomeshweHakuna shida yoyote wafu hawajui neno lolote kwa hiyo marehemu hawezi kusumbuliwa. Jambo la pili usifikiri wewe una akili kuliko jopo la watu wote waliokaa wakapanga huo utaratibu. Tatizo watanzania tunajifanya tunajua kila kitu na kupenda kulalamika kwa kila kinachofanyika. Imefika muda tubadilike sasa