Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tutofautishe hayati na marehemu
Itafaa uandike hayo katika wasia wako pia uweke na uwezesho.Maandiko gani yanakataza kumzungusha Marehemu? Mimi kama screpa ningependa mnizungushe hata mwezi
Jamaa kanishangaza kukimbilia kujenga milimani halafu alipozaliwa kapatelekeza....Pia tuna-buy time ili kule kijijini mazingira ya nyumba yarekebishwe faster.
Ada yake ni balaa!!Naam matumizi mengine muafaka ya Kodi zetu...., ila..., why not badala ya kununua hizo mobile morgue equipment tusiongeze ukubwa wa mortuaries ili kina kabwela wengi zaidi wapate hii huduma..., au all animals are equal but some are more equal than others ?
Marehemu anateseka [emoji1][emoji1]Ni kumtesa marehemu
Mmmmh ,si mchezo ,natamani utiririke zaidiKea sisi wa mambo ya kiroho hilo lilikuwa kafara
Jr[emoji769]
Ni zaidi ya miaka 20 mkuu binadam huwez kumbuka kila jamboYani wakili hakumbuki jinsi nyerere alivyoagwa? Nawasikitikia wqnaokupa kesi zao. KW vile jina lako lina majibu yote ni hki uko kusema hivyo
Nyerere aliagwa vizuri kweli.Hakuna surprise yoyote, wapanga mipango awamu hii ni hopeless
Hebu kumbuka Mkapa alipokuwa madarakani alivyosimamia msiba wa Mwalimu kwa weledi
Hawa wa sasa hivi vitu vidogo vidogo vinawashinda
Mwili ulikua anapelekwa hosp sio nyumbani kwake
Kila msiba lazima mlalamike aiseee.
Wakati wa mwalimu Nyerere mwili ulibaki uwanjani watu waliaga usiku na mchana
Binadamu hamkosi la kusema!Jamaa kanishangaza kukimbilia kujenga milimani halafu alipozaliwa kapatelekeza....