Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

Kumbe mnafatilia aiseee wafuasi wakipinzani wa nchi hii mna tabu sana. Jana ulikua mkesha usiku wake wa mwisho kwenye nyumba aliyizoea na kuishi. Leo mkesha kijijini kwao kisha mazishi.

Hope povu utafulia mkuu
Mbona jana kuamkia leo ulilala nyumbani kwake? Punguza huo uongo wako wa kuongea mambo usiyo yajua
 
Unajuwaje kama mimi pia ni mguswa wa huo msiba? Inakuwaje nyinyi vilaza wa lumumba mnashindwa kutumia angalau robo ya ubongo wenu?
Kumbe mnafatilia aiseee wafuasi wakipinzani wa nchi hii mna tabu sana. Jana ulikua mkesha usiku wake wa mwisho kwenye nyumba aliyizoea na kuishi. Leo mkesha kijijini kwao kisha mazishi.

Hope povu utafulia mkuu
 
Kabisa kabisa.

Mimi binafsi nimewaza labda jamaa alikua anapewa adhabu. Ule ni udhalilishaji.
 
Mimi hapa kaka... Asubuhi wanipeleke kijiweni kwangu napopata kahawa, mchana nipitishwe nilipozoea kupata ugali samaki, saa tisa nipitishwe kiwanja nilichokuwa napiga kilaji, jioni nipitishwe kwa mchepuko wangu Eva kisha wanirudishe kwa mama Bhoke nikalale kwa ratiba za kesho yake.
Mpaka uwe hayati ndio hili linaweza kufanyika. Ila kwa sasa ukifa asubuhi jioni ushaingia ndani ya futi 6
 
Wabongo hatuna jema...seems even vice versa would be bad to you!
 
guswa tangu msiba unatokea unayoa kashfa,mguswa gani wewe. Au mguswa wa hausi boy wa hapo home. Lumumba huku koromije ni mtaa uliochangamka sana. Nipo usagara mie
Unajuwaje kama mimi pia ni mguswa wa huo msiba? Inakuwaje nyinyi vilaza wa lumumba mnashindwa kutumia angalau robo ya ubongo wenu?
 
Mimi hapa kaka... Asubuhi wanipeleke kijiweni kwangu napopata kahawa, mchana nipitishwe nilipozoea kupata ugali samaki, saa tisa nipitishwe kiwanja nilichokuwa napiga kilaji, jioni nipitishwe kwa mchepuko wangu Eva kisha wanirudishe kwa mama Bhoke nikalale kwa ratiba za kesho yake.
Naona mnapoteza maana halisi ya Mtoa mada.
 
Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.

Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1549][emoji1549][emoji1549]

Jr[emoji769]
Viongozi
 
Imani ya dini yako inasema MAITI asisumbuliwe. Ndiyo maana mwislamu akifa muda mapema, anazikwa siku hiyo hiyo! Labda kuwe na sababu kubwa ya kutomzka wakati muda unaruhusu. Huyu ni Mkristu/ Mkatoliki, kumzungusha maitu hakukatazwi!
 
Wasalimie Nyamadhooke
guswa tangu msiba unatokea unayoa kashfa,mguswa gani wewe. Au mguswa wa hausi boy wa hapo home. Lumumba huku koromije ni mtaa uliochangamka sana. Nipo usagara mie
 
Bashir Yakub, Ile kesi ya makampuni ya Simu Mzee ulituuza kiukweli tulikupa moyo na hata watu walitaka kukuchangia nawengine walituma tuu ili usikwame stationary Ila umeonekana msaliti mchana kweupe tena ndio ukaleta vurugu za kampuni za Simu kuongeza gharama KIFUPI UMEONEKANA MSALITI WA WAZALENDO
 
Hakuna shida yoyote wafu hawajui neno lolote kwa hiyo marehemu hawezi kusumbuliwa. Jambo la pili usifikiri wewe una akili kuliko jopo la watu wote waliokaa wakapanga huo utaratibu. Tatizo watanzania tunajifanya tunajua kila kitu na kupenda kulalamika kwa kila kinachofanyika. Imefika muda tubadilike sasa
 
Mzee alichelewa kurekebisha the home siyo...the home is home!! Wasomi hasa ma Prof msilowee ukweni...aibu!!
 
Back
Top Bottom