Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

Kwani kulala uwanjani na kulala ndani ipi ni heshima kubwa? Alale pale uwanjani ili nani aage usiku huo?

Angepewa sikumoja unazani ingetosha? , Tafakari vizuri.
 
Labda itatokea kwakwe kwa sasa maana maraisi waliostafu ni waislam na huwaga hakunaga mambo kama hayo!
 
Kwa hiyo umeamua tunao vuta bangi na wewe hapa kijiweni tusikuage?.
Itategemea kama viongozi wenu kitaifa wataruhusu ratiba hiyo iwepo...kwani hamna mwakilishi wenu ama unajiwakilisha mwenyewe?
 
Wazee wa mangumashi ccm hao.......hawajielewi kabisa jamaa
 
Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.

Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1549][emoji1549][emoji1549]

Jr[emoji769]
Hata wale Wajumbe wa CCM hawawezi kukubali aiseeee
 
Kwetu wanasema maiti haitakiwi irudi nyuma,
Kwa Mkapa ni kama wamepata surprise kuwa hawajua hata wafanye nini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna surprise yoyote, wapanga mipango awamu hii ni hopeless

Hebu kumbuka Mkapa alipokuwa madarakani alivyosimamia msiba wa Mwalimu kwa weledi

Hawa wa sasa hivi vitu vidogo vidogo vinawashinda
 
Kwahiyo kuna watu hata hili wanapinga?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mi nimeshangaa hata hizo siku 3 zilikuwa za kaz gani..
 
Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.

Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.
[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1549][emoji1549][emoji1549]

Jr[emoji769]
Mfu hajui kitu chochote!
 
Back
Top Bottom