Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

... sijui umri wake lakini anaweza kuwa alikuwa na miaka 10 kiumri Chief au alikuwa nje ya nchi majukumu mengi au kalazwa hospital kufuatilia shida. A lot of possibilities.

Aingie you tube. Na anatakiwa ajuebkuwa maiti za kikristo hazina sheria kama za kiislamu. Ndio maana Hadi wanaake wanaruhusiwa kwenda kuaga . na inaweza. kuwekwa kwa muda mnaoutaka.

Warusi walimuweka Lenin kwenye display miaka nenda rudi nje ya Ikulu. Mkitak kwenda kumuona mnaruhusiwa . ila mambo hayo huwezi kuyaona uarabuni
 
Vipi kuhusu mzee Moi kenya?. Huyo alianikwa siku ngapi?. Halafu hakuwa jenezani
 
Ni mume mzazi babu kaka shemeji nk huwezi ukawa unazungusha mtu mortuary uewanja mtu akitolewa mortuary anaenda kuzikwa ujinga huo ukomeshwe
Hiyo ni itifaki ndugu hakuna namna ukitaka usitembezwe acha tu kuwa kiongozi wa kitaifa full stop. Jambo la pili kumbuka huyo ni hayati siyo marehemu
 
KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE.

Na Bashir Yakub, Wakili.
+255 714 047 241.

Haikuwa sawa kuupeleka mwili wake kila asubuh uwanjani, kuuanika pale masaa 12, na kisha kuurudisha tena kila jion,kwa siku tatu mfululizo.

Mzee Mkapa ni kiongozi wa kitaifa na hivyo ilikuwa lazima aagwe kitaifa na viongozi pamoja na wananchi.

Hata hivyo, maoni yangu ingetengwa tu siku moja ambayo mwili wake ungebebwa siku hiyo hiyo moja na kupelekwa uwanjani kwa ajili ya viongozi na wananchi kuaga, na kisha kwenda kuzikwa kwao moja kwa moja.

Au kama kungekuwa na ulazima wa kumuaga kwa siku tatu mfululizo basi mwili ungebakizwa palepale uwanjan, kuliko kuzunguka nao asubuh na jion barabarani.

Na kama hakukuwa na vifaa vya kuutunza palepale uwanjan, basi ni wakati muafaka sasa wa kuwa na vifaa hivyo "mobile morgue equipments" ili jambo kama hili lisitokee tena kwa kiongozi mwingine.

Sijui, lakini nadhan angekuwa na uwezo wa kuzungumza angesema inatosha.

Sina kumbukumbu nzuri kwa Mwalimu ilikuwaje, ila sidhan kama ilikuwa hivi.

Na hata kama ilikuwa hivi swali kwetu ni je, tunaonaje, jambo hili bado ni zuri kwa viongoz wetu wanaotutangulia??

Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.

Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.

Hakuna atayekubali kwake au kwa mtu wake.

Haikuwa sawa kuuzungusha barabarani kwa kiwango hicho mwili wa mzee wetu, basi tusifanye hivyo tena.
Angezikwa bila kuagwa mngelalamika pia?

Ova
 
Jamaa kanishangaza kukimbilia kujenga milimani halafu alipozaliwa kapatelekeza....
Huyu Mzee n hatar sana! Ukifika masasi utaz kaeneo na kuchungia mbuzi vile na sio kama eneo ambalo mkuu wa nchi katokea
 
Hakuna surprise yoyote, wapanga mipango awamu hii ni hopeless

Hebu kumbuka Mkapa alipokuwa madarakani alivyosimamia msiba wa Mwalimu kwa weledi

Hawa wa sasa hivi vitu vidogo vidogo vinawashinda

Alisimamia vizuri vipi? Kulikuwa tukidanganywa kuwa hali ta Mwl inaendelea vizuri huku tukuone Barbara za kuelekea uwanja wa uhuru zikiwekewa lami huko chumbani cpt Komba anatunga nyimbo za maombelezi.
 
KILICHOTOKEA KWA MKAPA KISITOKEE KWA KIONGOZI MWINGINE.

Na Bashir Yakub, Wakili.
+255 714 047 241.

Haikuwa sawa kuupeleka mwili wake kila asubuh uwanjani, kuuanika pale masaa 12, na kisha kuurudisha tena kila jion,kwa siku tatu mfululizo.

Mzee Mkapa ni kiongozi wa kitaifa na hivyo ilikuwa lazima aagwe kitaifa na viongozi pamoja na wananchi.

Hata hivyo, maoni yangu ingetengwa tu siku moja ambayo mwili wake ungebebwa siku hiyo hiyo moja na kupelekwa uwanjani kwa ajili ya viongozi na wananchi kuaga, na kisha kwenda kuzikwa kwao moja kwa moja.

Au kama kungekuwa na ulazima wa kumuaga kwa siku tatu mfululizo basi mwili ungebakizwa palepale uwanjan, kuliko kuzunguka nao asubuh na jion barabarani.

Na kama hakukuwa na vifaa vya kuutunza palepale uwanjan, basi ni wakati muafaka sasa wa kuwa na vifaa hivyo "mobile morgue equipments" ili jambo kama hili lisitokee tena kwa kiongozi mwingine.

Sijui, lakini nadhan angekuwa na uwezo wa kuzungumza angesema inatosha.

Sina kumbukumbu nzuri kwa Mwalimu ilikuwaje, ila sidhan kama ilikuwa hivi.

Na hata kama ilikuwa hivi swali kwetu ni je, tunaonaje, jambo hili bado ni zuri kwa viongoz wetu wanaotutangulia??

Ninachojua kumsitiri mfu sio tu kumzika chini ya udongo, bali ni pamoja na kumuepusha na mizunguko ya aina hii.

Nikiuliza hapa nani angependa akifa awe anapelekwa uwanjan asubuh, anakaa huko masaa 12, na kisha jioni anarejeshwa nyumban kwake, kwa siku tatu mfululizo, nadhan hatapatikana.

Hakuna atayekubali kwake au kwa mtu wake.

Haikuwa sawa kuuzungusha barabarani kwa kiwango hicho mwili wa mzee wetu, basi tusifanye hivyo tena.
Samahani ndugu Wakili.
Hivi unapowekaga Namba ya Simu hapo inakuwa kwa Minaajili gani ?
Natanguliza Shukrani
 
Nyerere alikaa karibia week mbili ili wajenge nyumba, ata huyu walikuwa wanarekebisha mazingira kule lupaso na watu kuaga pia wengi
 
Shekhe usijusumbue hawa watu wa msalaba kufanya hivyo kwao ni ufakhari na eti ndio mapenzi kwa maiti wao? Hatujui Sisi Waafrika tunawapenda maiti kuliko walio hai??? Ni kusifiwa kama Yesu ukishakufaa

Back
Top Bottom