Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Amka ukojoe ulale uendelee kuota,na inaoneka kabla ya kulala ulivuta bangi na hukula.
 
Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima.

Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona nafasi ya kukaa karibu na mrembo fulani hivi, nikaona very good, bia itashuka vizuri hapo.

Kweli bhana nikakaa, opposite na sisi upande wa pili wa meza kuna mrembo mwingine yupo na ka-boy friend kake, nikasema very good, patakuwa na utulivu hapa nilipokaa.

Sasa wakati naendelea kulainisha koo kale kajamaa kenye kademu kake kakaagiza kilevi flani cha gharama sana, hadi moyo ukanilipuka, na nikaona kabisa anafanya vile makusudi kunivuruga kisaikolojia, alilipa kama dollar 300 hivi, just imagine, what the f***

Jamaa akaenda toilet, kale kademu kake kakagundua nimefadhaika flani hivi, akaweka kile kilevi kwenye glass, akachanganya na barafu kisha akaweka cocacola kidogo, halafu akanipasia, sasa nikajiuliza, niikubali au niikatae, sikutaka kufanya maringo, nikachukua nikaanza kusip, no big deal.

Baada ya dakika kadhaa jamaa akarudi, tukaendelea kupata, baada ya dakika kadhaa yule dada wa pembeni yangu tukaanza mazungumzo, kumbe ni rafiki wa demu wa jamaa, na inaonekana hataki afanye mazoea na mtu, nikaona bullshit, huu udhalilishaji, nikatoa noti ya msimbazi nikamchapa nayo usoni yule dada kama kumtania hivi, hee, jamaa kuona vile akachomoa wallet, akatoa misimbazi kama mitano hivi, na yeye akamtandika nazo usoni yule dada.., what the f***

Unyonge nauchukia sana, nikachomoa kama 30 hivi, nikamchapa nazo usoni kale kademu kake, jamaa kama akaparalyse hivi. Jamaa akainuka kama kasusa anaondoka, kumbe bhana kaenda kwenye ATM, baada ya dakika kadhaa karudi na burungutu la noti, nadhani ni milioni ile, akataka anitandike nazo usoni, demu wake akamuwahi akazichukua na kuzikunjia kwapani, what the f***

Akawa hajaridhika, akaenda kwenye gari lake, akarudi na burungutu la noti za dollar mia mia , kama sio milioni 10 zile sijui, akanipiga nazo usoni.., watu wakagombania pale mi nimezubaa tu nazidi kuchanyikiwa na huyu mbwa ni wa wapi? What the f***

Nikamwambia broo, habari zisiwe nyingi, weka salio lako la Simbanking juu ya meza na mimi niweke langu, tumalize mzozo, nikaweka yangu, haikuwa haba.., na nikasema akiweza kuilipa hii, naondoka naenda kulala, jamaa akaweka salio la dollar accout, its an 8 figure dollar account, life is not fair, nimerudi tu nyumbani kulala, ujinga huu!!
Wewe utakuwa uvccm sio Kwa Akili hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama sio mhaya huyu sijui
 
Aahaaaaaaaaaa
 
Me nilikuwa pembeni hapo.... Sema sikuelewa scenario nzima
 
Jeiefu inataka kuwa "the home of fools" anyway shukrani kwa kutuburudisha kwa story yako ya mchongo [emoji4]
 
Cha ajabu watu wanasema nilikuwa naota, 😂, acha ninyamaze tu.., maana hadi naambiwa nimeshusha hadhi ya ID yangu, wakati nimeandika ukweli mtupu, hadi moyo unauma yani
 
Jeiefu inataka kuwa "the home of fools" anyway shukrani kwa kutuburudisha kwa story yako ya mchongo [emoji4]
Bro mimi sidanganyi, ujue naumia sana kuitwa muongo, hujui tu, yaani janaa aliporudicna burungutu la milioni moja hata mimi sikuamini, tena akaniweka wazi kwamba alienda kwenye ATM akatoa 400k, 400k halafu. 200k ilimradi tu ifike 1mil.., mimi sidanganyi jamani, daah
 
Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima.

Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona nafasi ya kukaa karibu na mrembo fulani hivi, nikaona very good, bia itashuka vizuri hapo.

Kweli bhana nikakaa, opposite na sisi upande wa pili wa meza kuna mrembo mwingine yupo na ka-boy friend kake, nikasema very good, patakuwa na utulivu hapa nilipokaa.

Sasa wakati naendelea kulainisha koo kale kajamaa kenye kademu kake kakaagiza kilevi flani cha gharama sana, hadi moyo ukanilipuka, na nikaona kabisa anafanya vile makusudi kunivuruga kisaikolojia, alilipa kama dollar 300 hivi, just imagine, what the f***

Jamaa akaenda toilet, kale kademu kake kakagundua nimefadhaika flani hivi, akaweka kile kilevi kwenye glass, akachanganya na barafu kisha akaweka cocacola kidogo, halafu akanipasia, sasa nikajiuliza, niikubali au niikatae, sikutaka kufanya maringo, nikachukua nikaanza kusip, no big deal.

Baada ya dakika kadhaa jamaa akarudi, tukaendelea kupata, baada ya dakika kadhaa yule dada wa pembeni yangu tukaanza mazungumzo, kumbe ni rafiki wa demu wa jamaa, na inaonekana hataki afanye mazoea na mtu, nikaona bullshit, huu udhalilishaji, nikatoa noti ya msimbazi nikamchapa nayo usoni yule dada kama kumtania hivi, hee, jamaa kuona vile akachomoa wallet, akatoa misimbazi kama mitano hivi, na yeye akamtandika nazo usoni yule dada.., what the f***

Unyonge nauchukia sana, nikachomoa kama 30 hivi, nikamchapa nazo usoni kale kademu kake, jamaa kama akaparalyse hivi. Jamaa akainuka kama kasusa anaondoka, kumbe bhana kaenda kwenye ATM, baada ya dakika kadhaa karudi na burungutu la noti, nadhani ni milioni ile, akataka anitandike nazo usoni, demu wake akamuwahi akazichukua na kuzikunjia kwapani, what the f***

Akawa hajaridhika, akaenda kwenye gari lake, akarudi na burungutu la noti za dollar mia mia , kama sio milioni 10 zile sijui, akanipiga nazo usoni.., watu wakagombania pale mi nimezubaa tu nazidi kuchanyikiwa na huyu mbwa ni wa wapi? What the f***

Nikamwambia broo, habari zisiwe nyingi, weka salio lako la Simbanking juu ya meza na mimi niweke langu, tumalize mzozo, nikaweka yangu, haikuwa haba.., na nikasema akiweza kuilipa hii, naondoka naenda kulala, jamaa akaweka salio la dollar accout, its an 8 figure dollar account, life is not fair, nimerudi tu nyumbani kulala, ujinga huu!!
KWA TABIA ZENU ZA KULALA NA KUOTA NDOTO KAMA HIZI HATUTAACHA KUWAPASULIA MAYAI KWENYE MAKALIO YENU. MNAOTA NDOTO ZA KIPUMBAVU. SISI MIAKA YETU TULIKUWA TUNAOTA TUNAPIGA MZIGO. WEWE UNAOTA UNALIWA....
 
Sasa bro uwe na heshima, mi nikikutukana mara moja tu, utatafuta kaburi ujifukie.
 
Aaaargh.... Kunitukana? Mbona siyo issue. Tukana hata mara 10000000000.mi nlidhani unasema utanidhuru. Mi matusi nshatukanwa sana na mengine watu wanatunga mapya. Sitoacha kuwaambia kama mnaaandika upuuzi. Zamani JF ilikuwa na heshima. Siku hizi mna imagine vitu vya kipumbavu mnaleta huku. Hivyo kabisa. Maza fanta
 
Back
Top Bottom