Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

Bro nakuonya, please, utanichukia nakwambia, eeeh
 
Inavyoonyesha ilikuwa ni mkutano wa wajinga wawiliπŸƒπŸƒ
 
Bro nakuonya, please, utanichukia nakwambia, eeeh
Aaaargh.... Kunitukana? Mbona siyo issue. Tukana hata mara 10000000000.mi nlidhani unasema utanidhuru. Mi matusi nshatukanwa sana na mengine watu wanatunga mapya. Sitoacha kuwaambia kama mnaaandika upuuzi. Zamani JF ilikuwa na heshima. Siku hizi mna imagine vitu vya kipumbavu mnaleta huku. Hivyo kabisa. Maza fanta
 

Mahali panapouzwa beer 2000, pana kinywaji cha currency ingine cha $300.
 

Attachments

  • 12.jpg
    20.9 KB · Views: 5
Let's take this story at face value.

Kanuni kubwa ya maisha ni kutoishi kwa kutaka kufurahisha watu wakuone wewe tajiri, wewe mzuri, wewe unafaa etc.

Ishi kwa vile unavyotaka wewe, as long as umefanya kazi ya kujielewa na kuielewa dunia, hutakosea.

Wewe unaishi kwa kutaka kufurahisha watu bado. Ndiyo maana unaweza kujiingiza katika mashindano ya kijinga ya nani ana pesa zaidi. Hii ni status anxiety.

Yani hata hujaelewa somo alilokupa huyo mrembo hapo kwamba unaweza kuwa na hela ukajishaua kununua kinywaji cha gharama, halafu kinywaji hicho akaenda kupewa mtu baki ambaye hata hajajishaua bado!
 
Umeandiaka vzr ila umeandika uongo mwingi wa siyo kufikiria a
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawaaaaaaaa
 
Dah! Nimejikuta ninacheka bila kutegemea.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…