Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kwenu si mnalala nyumba za hovyo?
Uchagan 95% Kila nyumba ya mwananchi Ina maji na umeme
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Sijwahi kulalia nyumba ya hovyo wala kuishi kijijini...Kuishi kweny migomba kama tumbiri hapana.

Dogo unajitetea sasa you need to work extra hard katika kutafuta pesa ili usijitetee sana
Huwezi kurudi Kijijin kwenu kwakuwa hakuna nyumba nzuri umekalia kurandaranda miji ya watu hâta kwemu hukumbuki shwaini kabisa wewe mdigo[emoji2]
Siku ukifa ndio watu watakujua kwenu vizuri[emoji2]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Ndo mkawe makonda mbona unajitetea sana .
Kazi yoyote halali inayoingiza kipato tunaifanya ndio maana hakuna umaskini kama kwenu
Pia Wachaga wanauchukia mno umaskini
Hâta ulaya makonda,ma driver wapo unasumbuliwa na USHAMBA
 
Huwezi kurudi Kijijin kwenu kwakuwa hakuna nyumba nzuri umekalia kurandaranda miji ya watu hâta kwemu hukumbuki shwaini kabisa wewe mdigo[emoji2]
Siku ukifa ndio watu watakujua kwenu vizuri[emoji2]
😅😅😅Nazunguka kanda hii na huku nina mishe kaangalie wenzio walivyojazana pale kariakoo wengi ni vibaka ...Hapa nipo home kikubwa nazunguka kanda hii huko kwa waoza meno hapan.
 
Kazi yoyote halali inayoingiza kipato tunaifanya ndio maana hakuna umaskini kama kwenu
Pia Wachaga wanauchukia mno umaskini
Hâta ulaya makonda,ma driver wapo unasumbuliwa na USHAMBA
😅😅😅😅waliomba ukonda hiyo idadi wote maskini na naweza kuwaajiri hao ndugu zako na degree zao wanaomba ukonda😅😅.

Mna dhiki sana mngetulia kwenu ndo maana mwezi wa 12 mnaongozana kama siafu kwenda kwenu na uwizi hapa mjini unapungua na panakuwa safi.
 
UNASHANGAA NNMAJUZI WAMEY=TANGAZA SERKLNNAFASI 47 WAMEKWENDA 800
UPO MKUU .....USIOGOPE KAMA NYOTA YAKO UTAPATA TU
 
issue sio degree wala ukonda n kuipenda kazi
2003w nilifanya interview sehemu nikiwa na degree tofauti n chin na angan na tulikutana 10 toka udsm kaxn....nawatakia kila la kheri
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Nazunguka kanda hii na huku nina mishe kaangalie wenzio walivyojazana pale kariakoo wengi ni vibaka ...Hapa nipo home kikubwa nazunguka kanda hii huko kwa waoza meno hapan.
Kariakoo tumeikamata tangu miaka ya 80 wakati nyie mkicheza baikoko
Sisi nchi nzima tumejenga ndo ujue tofauti ya elite na mbumbumbu
 
Tunaenda kwetu kwakuwa tunapapenda,tumejenga mahekalu hatuna nyumba za hovyo kama kwenu
Nyie hamtaweza kumwamuwa mna umaskini mkubwa hâta WA kujenga mmeshindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…