Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Sdhani kama inafika hiyo pesa...mshara ni 300000 .sema wanapiga sana kwenye posho huko na njianii..ni kazi nzuri ukitumia akili unatoka kabisa kimaisha...nina ndugu yangu kafanya hii kazi.now ana nyumba yake na kinoah chake life goes on.mimi mwenyewe nusura niifanye hii kazi wakati natafuta ajira na nilikuwa willing kabisa ningepata ningefanya but niliikosa .
Kwa njia ya Dar to Arusha kupiga ni ngumu, kidogo jamaa wana wakaguzi na ma spay wa kutosha, na Mabasi luxury huwa kupiha sio rahisi, ila zile ngarangara zile makonda wanajipigia hadi wananyanyua mikono juu
 
Tatizo kwenye huduma kwa wateja wanawake tuko fyongo sana, ndio tunapamba biashara na huduma ila kauli na nyodo ni karaha sana, wadada wachache sana wenye lugha nzuri mfano Asante Rabi luxury wana mdada yuko poa sana, muonekano huduma na kauli, namkumbuka kila nikiwa na safari ndefu
 
kuna mmoja ni wa basi la shabiby aisee, aliniganda nimdinye hadi nikakimbia, hata baada ya kumwelewesha kwamba mimi ni mlokole nimeacha hizo dhambi bado ananifuata fuata hadi leo. nimekuja kugundua ameachika kwa talakaa liyokuwa amevamia ndoa ya mtu wakafunga ndoa magumashi bomani, na ametelekezewa mtoto anahangaika na yeyote atakayemwona. wapeni mishahara mizuri basi.
Basi la watu 60 akugande wewe tu
Lazima ulijipitisha pitisha kwake.

Ungekuwa ukikuwa una.mind your.own business kwenye basi asingekuganda hivyo.
Ulimtia maharibuni kwa mapngezi yako.au kukodoa jicho kwako au matendo yako kwake au vyovyote
utubu dhambi ya kumtia majaribuni mtoto wa watu na kumfanya a react hivyo
 
Ww muongo salary haizidi 150000

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
Something is better than nothing kumbuka wanakula bure na pesa za safari hupewa
Hizo pesa halali ni nzuri kuliko kujiuza

Wewe binafsi umeajiri wangapi.kwa mshahara wa bei gani?
Tisikatishe tamaa watu wanaosaidia kupunguza tatizo la ajira

Tuwashukuru Kilimanjaro bus kwanza kwa kuwa kampuni ya mfano kwa kutangaza nafasi za kazi za ukondakta hadharani

Wengi nafasi hizo huwa hawatangazi
 
Kwa sababu ya sura au au uwezo wake? Hata Baa wako wahudumu walio paswa kuwa Kilimanjaro Hotel
kazi yake anaipenda na anaijua sana, yaani hachoki.
Ukimwita tu fasta huyu hapa, baada ya muda anauliza jamani ndugu abiria kuna mtu anajisikia vibaya, mkifika kwenye kona zile kali anawaambia ndugu abiria kama kuna vitu wameshika wavishike vizuri.

Mhudumu anayekaribiana na huyu nilikutana naye basi la travel partner Mwanza-Dar.
 
EE ni Kweli 95% Wana maisha mazuri,nyumba umeme maji ya bomba
Unajua bei ya basi Moja Marcopolo ?
Haya safisha macho Hapa na mahekalu Huko migombni View attachment 2672585View attachment 2672586
Qe Jamaa hujiamini na bado una akili za kitoto bado una ukabila kwa mbali ,unajaribu kudefend kila kitu cha kwenu rudi kijijini kwenu ukagombee nafasi ya ukondakta😅😅😅.

Hata maisha ya kueleweka huna upo tu hapa sijui mabasi wakati hata leseni huna ...Post nyumba ya kwenu hizo hzina maajabu hata Tandale na mbagala zipo
 
Sdhani kama inafika hiyo pesa...mshara ni 300000 .sema wanapiga sana kwenye posho huko na njianii..ni kazi nzuri ukitumia akili unatoka kabisa kimaisha...nina ndugu yangu kafanya hii kazi.now ana nyumba yake na kinoah chake life goes on.mimi mwenyewe nusura niifanye hii kazi wakati natafuta ajira na nilikuwa willing kabisa ningepata ningefanya but niliikosa .
Hahahah hizo posho unapataje na basi za Kilimanjaro haziokotagi abiria njiani? 🤣
 
Cha ajabu ni nini sasa hapo?Acheni wadada wafanye kazi.

Hakuna la kushangaza hapo 'Kazi ni kazi '


Tatizo huku jf kila mtu hua anajifanya mambo mazuri kumbe watu wanadhiki mpk kwenye kope za macho 😂

Kazi halali hio,wadada changamkieni fursa
5AFFB8DD-E26B-4394-B134-10558C9EE15B.jpeg
 
Kilimanjaro wako safi sana,walinisafirishia watoto mpaka Moshi Kwa bibi yao bila shida,Kila baada ya 3hrs wananiupdate,how is my kids mpaka wanapokelewa na Babu yao himo.
Ile bus ya saa 11 safi sana naona hata ngozi nyeupe nyingi zinapanda.
Kudos Kwa wahudumu wao.

Sent from my TECNO KG5k using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom