Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

kuna mmoja ni wa basi la shabiby aisee, aliniganda nimdinye hadi nikakimbia, hata baada ya kumwelewesha kwamba mimi ni mlokole nimeacha hizo dhambi bado ananifuata fuata hadi leo. nimekuja kugundua ameachika kwa talakaa liyokuwa amevamia ndoa ya mtu wakafunga ndoa magumashi bomani, na ametelekezewa mtoto anahangaika na yeyote atakayemwona. wapeni mishahara mizuri basi.
Kanda ya kati ama.
 
Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.

Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.

Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu. View attachment 2671833
Kazi nzuri ya kufungua Nchi na kukuza private sector imeanza kuzaa matunda.
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,
Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Kwetu mwenye elimu akihudumia kaz za chini anakuwa nq dharau akiamin analingana na anaemuhudumia
 
Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.

Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.

Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu. View attachment 2671833
Cha ajabu ni nini sasa hapo?Acheni wadada wafanye kazi.

Hakuna la kushangaza hapo 'Kazi ni kazi '

Tatizo huku jf kila mtu hua anajifanya mambo mazuri kumbe watu wanadhiki mpk kwenye kope za macho 😂

Kazi halali hio,wadada changamkieni fursa
 
Fursa ya kozi.
JamiiForums-580479896.jpg
 
🤣 My name is Careen Jacqueline Joy Precious Noreen Asma Mimah Hairat Zubeida.... nachukua International relation, Procurement, Sociology, Political science, Account, B Administration, Public administration... Nipo mwaka wa 3 udsm udom Cbe Ifm TIA 🤣😅
Nyie nasikia bandari inauzwa tuache utani HII IMEENDA
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,
Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Labda useme baa zote, hadi now wahudumu wa bar graduates wapo mfano The Cask mwanza nawajua watatu graduates
 
apo wanawapita baadhi ya walimu mf daraja la 3A
Sdhani kama inafika hiyo pesa...mshara ni 300000 .sema wanapiga sana kwenye posho huko na njianii..ni kazi nzuri ukitumia akili unatoka kabisa kimaisha...nina ndugu yangu kafanya hii kazi.now ana nyumba yake na kinoah chake life goes on.mimi mwenyewe nusura niifanye hii kazi wakati natafuta ajira na nilikuwa willing kabisa ningepata ningefanya but niliikosa .
 
kuna mmoja ni wa basi la shabiby aisee, aliniganda nimdinye hadi nikakimbia, hata baada ya kumwelewesha kwamba mimi ni mlokole nimeacha hizo dhambi bado ananifuata fuata hadi leo. nimekuja kugundua ameachika kwa talakaa liyokuwa amevamia ndoa ya mtu wakafunga ndoa magumashi bomani, na ametelekezewa mtoto anahangaika na yeyote atakayemwona. wapeni mishahara mizuri basi.
Mkuu kama hukuwa na haja ya kudinya ya nini kufuatilia yote hayo, punguzeni kamba jamani.
 
Back
Top Bottom