Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kanda ya kati ama.kuna mmoja ni wa basi la shabiby aisee, aliniganda nimdinye hadi nikakimbia, hata baada ya kumwelewesha kwamba mimi ni mlokole nimeacha hizo dhambi bado ananifuata fuata hadi leo. nimekuja kugundua ameachika kwa talakaa liyokuwa amevamia ndoa ya mtu wakafunga ndoa magumashi bomani, na ametelekezewa mtoto anahangaika na yeyote atakayemwona. wapeni mishahara mizuri basi.