Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro.

Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu.

Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu. View attachment 2671833
Kuna ubaya gani
 
Juzi nilikuwa nasafari nikawa na kibeg changu kimoja,kwenye buti wakasema niingie nacho ndani,kuingia nacho ndani pale juu kwa mizigo hakiingii,basi mlangoni kuna ilani kabisa usiweke mzigo chini utaharibu system ya kuchajia simu[emoji3] nilichokifanya nikachukua kile kibegi na kukiweka kichwani[emoji1787] muhudumu ikabidi acheke tu akaja akakichukua kile kibeg sijui alikiweka wapi mpaka tunafika Arusha akawa rafik yangu kabisa,hawa ni muhimu sana katika mabasi
 
Mbona nimesikia watu wa huko wote wana kazi na maisha mazuri.
EE ni Kweli 95% Wana maisha mazuri,nyumba umeme maji ya bomba
Unajua bei ya basi Moja Marcopolo ?
Haya safisha macho Hapa na mahekalu Huko migombni
IMG_20230627_180950_223.jpg
IMG_20230627_114436_613.jpg
 
Kweli uchumi umekua kazi zinaanza kuheshimika soon wahudum WA bar watakua graduates Kila kitu huduma itatolewa professionally,
Hongera sana kampuni za Kilimanjaro, Ratco, Tahmeed , abood na Tilisho kwa kutambua umuhimu WA good customer service
Wapo mbona sema huwezi wajua kwa sababu wanaficha, kuna mmoja amemaliza Chuo vha Uhasibu Arusha ni House Girl kwa mzungu,
 
Back
Top Bottom