Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

Mbona sioni hayo mahekalu ni nyumba za kizamani hamna kipya...Ni mahekalu kwa level za Kijijini kwenu ila huku ni nyumba za Manzese tu[emoji1787]
Unaota ndoto wewe Kilimanjaro ndio mkoa WA kwanza Tanzania kwa makazi bora vijijin kwa mujibu WA NBS
Haya safisha macho maskini wewe [emoji2]
 
Mbona naona waarabu ndo matajiri nyie mko wapi[emoji1787][emoji1787]Ndo muandike kitabu mkilalamika kwamba wageni wanapendeleewa[emoji1787]
Mlamba matako ya mwarabu una upofu WA akili
Fuatilia wazawa uone ni kina nani Mwenye minoti
Unajua mmiliki WA précision air?
 
Hebu fanya unipe namba ya huyo mfanyiwa interview wa kwenye boda. You never know! Anaweza kukosa hiyo kazi. Nataka kumfuta machozi.

Maana nipo kwenye hatua za mwisho kabisa za kulipwa kikokotoo kandamizi cha 33% na hii serikali ya ccm
Duh! Mkuu utakuwa una ugwadu. Hata hujamuona fresh unataka namba😄

Almuradi umeona sketi tu Basi😄🙌🏾
 
[emoji23][emoji23]Wazwa wapi hamna utajiri Mo ndo kashika nchi mpaka anaitwa mmiliki wa Tanzania nyie kazi zenu wengi matapeli[emoji23]
Mtazd kulamba matako ya mwarabu Hadi kiama,Sisi investissement tu
Nimekuuliza unamjua mmiliki wa précision air ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…