luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Unaota ndoto wewe Kilimanjaro ndio mkoa WA kwanza Tanzania kwa makazi bora vijijin kwa mujibu WA NBSMbona sioni hayo mahekalu ni nyumba za kizamani hamna kipya...Ni mahekalu kwa level za Kijijini kwenu ila huku ni nyumba za Manzese tu[emoji1787]
Haya safisha macho maskini wewe [emoji2]