Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kampuni ya Kilimanjaro Express kuanza karibuni safari zake za usiku
Kwa mujibu wa Tangazo lililotolewa kwenye ukurasa wake wa twiter, Huduma ya usafiri itaanza saa 2 Usiku kuanzia Dar-Moshi-Arusha
Kwa mujibu wa afisa wa Kampuni hiyo ambaye nimeongea naye kwa njia ya simu, amethibisha kuwepo kwa safari hizo zinaozotegea kuanza hivi pumde.
" Ni kweli safari hizo zitaanua hivi karibuni, tutawapa taarifa wateja wetu, tunachokisubifia kwa sasa ni kupata idhini ya mwisho toka mamlaka za serekali, lakini hatua tuliofikia ni nzuri, tupo kwenye uratibu wa mwisho ili kuanza safari hizo" Alisema afisa huyo.