Hii ni nzuri sana kwa kweliUnaondoka saa 2 usiku saa mbili asubuhi unafika. Unafanya shughuli zako jioni unageuza tena.
Wenye Guest house watapata tabu sana. Usingizi tutamalizia kwenye basi.
Mbona hiyo ruti safari za usiku zipo siku nyingi. Wanaita hakuna kulala.Kuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku
Hii route hapana watwamwageni kitonga hawa madereva wetu wa mitandaoniKuna hii ruti ya dar mbeya nayo ni muhimu sana kuwe na basi za usiku
Uko negative sana huoni hyo njia ina save time na other cost?Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Nina hakika abiria ni wengi. Hilo basi/mabasi hayawezi kumaliza abiria wote.Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?
Abiria ndio ataamua apande treni, basi, bajaji, bodaboda au atembee kwa miguu hadi Arusha.Sasa naona Ile mbinu ya kuua safari za train ya Moshi to dar to Moshi imeanza. TRC mpoo? Maza upo? Pole Pole sema neno train yetu itapata wapi wateja wa usiku?