Kilimanjaro; Mama na mtoto washikiliwa kwa kupigana na Mumewe hadi kupoteza maisha

Ugomvi wa wazazi siyo wa kuingilia huyo kijana atajutia hilo swala, mimi nyumbani mzee na mkewe walikuwa wanagombana wanashikiana hadi mapanga mimi siingilii, wanagombana hivyo kesho wanapatana.
 
Watu wana magonjwa yao.... Unabandika ngumi moja.... Chali... Amedondoka... Unabaki na kesi ya mauaji...
 
Busara🙏
ila mnatia hasira sana.mpo gest mmeingia usiku mnacheza game mmoja ananiambia amechoka anataka alale apumzike nikamuacha.inafika saa 12 asubuh natka kuondoka anazizuia anataka tufanye na mlango kafunga na funguo kaficha.nilishikwa na hasira mpaka nikawa natetemeka .ila nikawazaa madhara ya kutumia hasira unaweza ukampiga ukamdhuru unapelekwa polisi,yeye hospital tena umtibie.au yanaweza yakatokea hata ya kifo nikaenda jela.nikaamua kutulia
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    363.2 KB · Views: 1
Kwahiyo mkafanya
 
Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?

Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Kuna umri watoto wakishafikia, mambo mengine HUWEZI kufanya mbele yao, moja ni kupigana na mke wako. Hili linafanya mnaonekana watu wa hovyo sana. Anyways, mimi siungi mkono kwa namna yoyote mambo ya mume na mke kupigana hata kama watoto ni wadogo....
 
Unajua kisa chao!? Au unashoboka tu
Unaingilia ugomvi unamtetea mama, baadae unakuja kugundua mama ndiye mwenye kosa,
Mambo yao unawaachia wamalizane nayo wao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…