Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe ndo unamlala mama Yako?Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?
Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Huu uzi nimeupita kama siuoni.Fuatilia kusaga Tv and Gadi Tv , kuna matukio huko ...Jana tu nimeona kuna jamaa kamlawiti mwanawe wa miezi 11 mpaka kufa.
Ugomvi wa wazazi siyo wa kuingilia huyo kijana atajutia hilo swala, mimi nyumbani mzee na mkewe walikuwa wanagombana wanashikiana hadi mapanga mimi siingilii, wanagombana hivyo kesho wanapatana.Jeshi la polisi mkoani Kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama Baraka pamoja na mwanae wa kiume aitwae Baraka mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa jina la Fasil Herman mwenye umri wa miaka 57.
Mauaji hayo yametokea katika maeneo ya Forest, kata ya Ngarenairobi, wilaya ya Siha,
Mdogo wa marehemu anasema kuwa kwa mujibu wa mashuhuda waliowahi eneo la tukio ni kuwa mke na mume walikuwa wakipigana na ndipo kijana nae kuingilia ugomvi na hatimae mume kudondoka chini na kufariki dunia.
Miezi 9 ama miaka 9?Si umesikia leo leo Arusha Mtu kalawiti Mtoto wake wa miezi 9?
Huruhusiw kuinglia, bali waweke sawa na usioneshe upo chadema au sisiem.Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?
Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Duuuh!Kwahiyo wewe ndo unamlala mama Yako?
Mbona anapolia chumbani Huwa huuingilii?
Au hujui huko pia Huwa anapigwa?
Watu wana magonjwa yao.... Unabandika ngumi moja.... Chali... Amedondoka... Unabaki na kesi ya mauaji...Jeshi la polisi mkoani Kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama Baraka pamoja na mwanae wa kiume aitwae Baraka mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa jina la Fasil Herman mwenye umri wa miaka 57.
Mauaji hayo yametokea katika maeneo ya Forest, kata ya Ngarenairobi, wilaya ya Siha,
Mdogo wa marehemu anasema kuwa kwa mujibu wa mashuhuda waliowahi eneo la tukio ni kuwa mke na mume walikuwa wakipigana na ndipo kijana nae kuingilia ugomvi na hatimae mume kudondoka chini na kufariki dunia.
ila mnatia hasira sana.mpo gest mmeingia usiku mnacheza game mmoja ananiambia amechoka anataka alale apumzike nikamuacha.inafika saa 12 asubuh natka kuondoka anazizuia anataka tufanye na mlango kafunga na funguo kaficha.nilishikwa na hasira mpaka nikawa natetemeka .ila nikawazaa madhara ya kutumia hasira unaweza ukampiga ukamdhuru unapelekwa polisi,yeye hospital tena umtibie.au yanaweza yakatokea hata ya kifo nikaenda jela.nikaamua kutuliaBusara🙏
Ujinga huu, why be neutral wakatu unamuona Oppressor ?Huruhusiw kuinglia, bali waweke sawa na usioneshe upo chadema au sisiem.
Jeshi la polisi mkoani Kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama Baraka pamoja na mwanae wa kiume aitwae Baraka mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa jina la Fasil Herman mwenye umri wa miaka 57.
Mauaji hayo yametokea katika maeneo ya Forest, kata ya Ngarenairobi, wilaya ya Siha,
Mdogo wa marehemu anasema kuwa kwa mujibu wa mashuhuda waliowahi eneo la tukio ni kuwa mke na mume walikuwa wakipigana na ndipo kijana nae kuingilia ugomvi na hatimae mume kudondoka chini na kufariki dunia.
Kwahiyo mkafanyaila mnatia hasira sana.mpo gest mmeingia usiku mnacheza game mmoja ananiambia amechoka anataka alale apumzike nikamuacha.inafika saa 12 asubuh natka kuondoka anazizuia anataka tufanye na mlango kafunga na funguo kaficha.nilishikwa na hasira mpaka nikawa natetemeka .ila nikawazaa madhara ya kutumia hasira unaweza ukampiga ukamdhuru unapelekwa polisi,yeye hospital tena umtibie.au yanaweza yakatokea hata ya kifo nikaenda jela.nikaamua kutulia
nilimwambia hyo nanii yako nikienda Qx nikiwa na elfu 5 tu napata sikufanya ila aliomba msamahaKwahiyo mkafanya
🤣🤣🤣🤣Ndo maana napenda kuzaa watoto wa kiume, walinzi wa kweli.
Kuna umri watoto wakishafikia, mambo mengine HUWEZI kufanya mbele yao, moja ni kupigana na mke wako. Hili linafanya mnaonekana watu wa hovyo sana. Anyways, mimi siungi mkono kwa namna yoyote mambo ya mume na mke kupigana hata kama watoto ni wadogo....Acha ujinga.......Yaani Baba anampiga mama nisiingilie?
Kwanza Baba Mwenye Akili unampigaje Mke wako.
? Huko ni kukosa akili na kutojiamini
Unaingilia ugomvi unamtetea mama, baadae unakuja kugundua mama ndiye mwenye kosa,Unajua kisa chao!? Au unashoboka tu
Unaweza ingilia ila Kwa kusuruhisha bila kuchagua upandeUgomvi wa wenza/wazazi usiingilie