Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

Mkuu Police hawakuishia kwenye Wivu wa Mapenzi, taarifa yao iliendelea. Na imesema kabisa kuwa ALIENDA MACHIMBO, then MWANAMKE AKAWA AMEPATA MIMBA. Logically inaonyesha Mwana apollo katombewa.

Kesi za Mauaji ya Wapenzi, 90% Police husema chanzo ni WIVU WA MAPENZI. Hii huwa ni kufupisha taarifa.
Kwahiyo baada ya kupigwa miti nje na kuzaa kabisa bado akaendelea kukaa hapo hapo !!?! Alitegemea miujiza gani mwamba akirudi? Kuna watu bongo zao zimesizi sana
 
Kwahiyo unataka kuniambia alivyoenda machimbo hadi anarudi alikuwa hajui Mkewe ni Mjamzito? Yaani amerudi akakuta mkewe amejifungua week mbili zilizopita bila yeye kujua process yote ya utungaji hadi kujifungua? Sasa Polisi walivyosema hapo nyuma kulikuwa na mgogoro ,je ni mgogoro upi sasa na nyuma kwa kipindi gani ?
Hapo jiongeze chief...mgogoro ni huyo mtoto..
 
Bado unaishi kwenye agano la kale?[emoji28][emoji28][emoji28]stuka,chukua hatua maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona,alipowambwa msalabani kwa aibu na siku ya 3 akafufuka,alisema yametimia ,ya kale yakafutwa tukaanza upya [emoji120][emoji120]
Hakuja kuitengua Torati bali kuikamilisha... Agano la kale bado linafanya kazi kwa kiasi kikubwa..
 
Ila ukifikiria deep mpaka mtu anaua sio bure sometime wadada wana jeuri sana hasa huko kaskazin mweee,nshawahi jibiwa fanya unachokitaka,kuepusha shari anakufuata we si mwanaume huna lolote,nkatoka nje nkazomewa dah kama si kujishusha mwenyew nlitaka kumvunja mikono yote miwil
Mi kipindi flan tengeru nilitishiwa kisu na manzi angu... Nikamuambia hakikisha hukosei maana nikikupokonya hicho nakumaliza (mkwara tu ulikuwa [emoji16])... akagaili
 
my friend tumia muda utaelewa yaani nitoke nae nimgharamie, moyo wake siujui ila yuko nami na anakula vyangu, kisha afanye ujinga...
Na hao unaokutana nao viande wenzio Mimi ukinigusa hata kijikibao lazima nikulaze ndani siku tatu na nahakikisha wamekutoa malinda.
 
Wachaga nao wameshaanza kuwa na wivu.wao si pesa tu wake huwatelekeza
 
Wachaga nao wameshaanza kuwa na wivu.wao si pesa tu wake huwatelekeza
kwa zamani ilikuwa Haina shida kwao,hata mke akizaa na mtu mwingine jamaa akirudi mtt anakuwa wake,hii ikawa Mila ya kawaida kwao, lakini kwa Sasa Mambo yamekuwa tofauti Sana.

wengi wao wameshajua ubaya wa kufukiwa kizazi chako,yaani uzao wako unazikwa halafu unalea watt wa jamaa jingine ,na pili wanawake wa kichagga wa Sasa sio Kama wale wa zamani walioanzisha hii Mila wa Sasa hawana kifua anazaa na mtu mwingine halafu haishii hapo na atamuonyesha mtoto babae halisi akishakuwa mkubwa.

Sasa Pima maumivu yake hapo. Unalea mtoto kwa upendo wote licha ya kuwa utagundua huyu si wangu Ila unavumilia kulinda familia.

Halafu baadae mwanamke roho inamsuta anamwambia mtt babaake halisi.aise unaweza ukamimina bullets za kifua nyumba mzima. So sad!
 
Screenshot_20230227-194210.jpg
 
Hapo jamaa ameoa tukikataa ndoa mnatuona tunapotosha kila siku story za majanga kwenye ndoa ni Bora tunapiga utelezi no commitment hata ukijua mtoto sio wako unasonga mbele
 
Watu wanalaumu tuu bure
Imagine umeenda kumtafutia mkeo halafu huku nyuma anagawa utamu hadi mimba anapata na kuzaa juu ....hivi maumivu yake yanavumilika? Kila mtu Ana moyo wake wa kukabiliana na usalitii.
Si unamuacha tu
 
Back
Top Bottom