King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mkuu taarifa ya Police inasema Mgogoro ni JUU YA MTOTO. na sio Mgogoro kabla. hakuna sehemu imesema Mgogoro ulikuwa nyuma.
Summary ya taarifa inasema Alienda Machimbo then Wife akapata Mimba then Mgogoro juu ya Mtoto.
FRANCIS DA DON alikueleza hili Mkuu.
Kwahiyo mgogoro juu ya mtoto ulianza alipofika nyumbani na kukuta mkewe ana mtoto wa wiki mbili? Ina maana alivyoenda machimbo hadi anarudi alikuwa hajui kama mkewe mjamzito/amejifungua?