Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

Hatubishani hapa mkuu bali tunachangia hoja kwa mujibu wa kila mtu alivyoelewa.

Polisi wamesema chanzo ni wivu wa kimapenzi na pia kulikuwa na mgogoro....Kwahiyo mgogoro ulikuwepo ila siku ambayo amefikia hatua ya kuua chanzo chake kilikuwa ni wivu wa kimapenzi.
Duuu, somo la ‘Comprehension’ linakupiga chenga. Wewe ndio wale wakichungulia miti kwenye dirisha la basi wanasema miti inakimbia kurudi nyuma, hata niwambie vipi kwa miti imesimama hapa hutakubali, maana ndicho unaona.., sina msaada kwako, wahi mirembe
 
Sasa hapo shida sio mwanamke shida iko kwako
my friend tumia muda utaelewa yaani nitoke nae nimgharamie, moyo wake siujui ila yuko nami na anakula vyangu, kisha afanye ujinga, think in perspectives ndio utaelewa. Ndiomana natoa tahadhari mapema nawaambia mimi ni mkorofi ukizingua vitasa muda wote.

Pride+respect+responsibilities
 
Shida ya kusaini makaratasi, inakufanya upotia mlolongo mrefu sana kuachana, yaani hadi uende mahakamani ukadaiwe mgao wa nyumba, inaleta maumivu zaidi...
Mkuu,maumivu hayaletwi na hio milolongo ya makaratasi wala kugawana mali,Maumivu yanaletwa na Usaliti tu,iwe umefunga ndoa au hujafunga ukisalitiwa hapo hutafikiri chochote kuhusu hayo,ndio maana hata jamaa tayari ameacha hizo mali na Uhuru wake sababu hiohio na hata ndoa ya karatasi anaweza kuwa hana.

Wengine wanaenda mbali hata kujitoa uhai

Kuna jamaa mwingine Jana kajitoa uhai kwa kunyimwa papuchi ya Hawara na mke kamuacha nyumbani,tena kajinyongea kwa hawara ambaye ni mke wa mtu,sasa unadhani mtu kama huyo anasumbuliwa na Mali?
 
Maumivu huongezwa zaidi pale unapokuwa huna uhuru wa kumwacha kiurahisi, tena na kugawana mali inaumiza zaidi, hilo sio la kubishana.
 
Kwani ukioa ukizaa na kumlea kwa upendo kuna tatizo gani? Ila ndoa hakuna kufunga
Upendo upi wa mama utakampa mtoto?wewe baba utampa upendo wako ndio, wa mama mzazi ataupata wapi?

Unajua mtoto anathirika kiasi gani akikosa upendo na malezi ya mama? Ndio maana nasema unamtesa mtoto sababu kama wewe mwanaume mzima umeshindwa kuchagua mke wa kuishi nae Leo unampelekea mtoto alelewe na mtu mwingine kama sio kumtesa ni nini?
 
Inasikitisha sana,Jamaa ni mental cases , mtoto ana wiki 2 unamchana tumbo? Binti ametoka kujifungua ndani ya week mbili unamuonea wivu wa kimapenzi?
Mimi hapo sijaona wivu wa kimapenzi. Hiyo ni kesi tofauti
 
Upendo upi wa mama utakampa mtoto?wewe baba utampa upendo wako ndio, wa mama mzazi ataupata wapi?

Unajua mtoto anathirika kiasi gani akikosa upendo na malezi ya mama? Ndio maana nasema unamtesa mtoto sababu kama wewe mwanaume mzima umeshindwa kuchagua mke wa kuishi nae Leo unampelekea mtoto alelewe na mtu mwingine kama sio kumtesa ni nini?
Sasa mbona huyo kaolewa halafu upendo kaupeleka kwingine na mimba juu lakini bila aubu kakomaa na mtoto wake huyo ndani ya hiyo ndoa bila kumhofia mume wake?
 
Sasa mbona huyo kaolewa halafu upendo kaupeleka kwingine na mimba juu lakini bila aubu kakomaa na mtoto wake huyo ndani ya hiyo ndoa bila kumhofia mume wake?
Umechanganya vitu vyote kwa wakati mmoja hebu anzia juu utaelewa tumeanzia wapi,ukishaelewa rudi uje kuuliza swali
 
Duuu, somo la ‘Comprehension’ linakupiga chenga. Wewe ndio wale wakichungulia miti kwenye dirisha la basi wanasema miti inakimbia kurudi nyuma, hata niwambie vipi kwa miti imesimama hapa hutakubali, maana ndicho unaona.., sina msaada kwako, wahi mirembe

Wewe ndiyo unahitaji uende mirembe unabishana na taarifa iliyoletwa na Polisi as if wewe ndiyo ulikuwa mpelelezi wa hilo tukio....Polisi wamesema ni wivu wa kimapenzi ,wewe unakuja na mtazamo wako kwamba alibambikiwa mototo kwa kuwa alikuwa machimbo ,nimekuuliza maswali kadhaa hakuna hata moja ulilojibu zaidi ya kuattack mtu personally.

Kwani mtu akiwa machimbo ndiyo anakuwa mtoto siyo wake? What if alimpa ujauzito ndiyo akaenda machimbo? Kwahiyo vipi wale walioishi ndani ya nyumba moja na wakabambikiwa watoto? Taarifa haijasema kwamba amemuua mkewe kwasababu alibambikiwa mtoto ,hizo ni assumption zako tu wewe.
 
Watu wanalaumu tuu bure
Imagine umeenda kumtafutia mkeo halafu huku nyuma anagawa utamu hadi mimba anapata na kuzaa juu ....hivi maumivu yake yanavumilika? Kila mtu Ana moyo wake wa kukabiliana na usalitii.
Bora kutokuoa tu

Ova
 
Back
Top Bottom