King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sawa ,unaweza ukawapa maoni polisi waliosema haya ya chini.Mimi hapo sijaona wivu wa kimapenzi. Hiyo ni kesi tofauti
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.