ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Unahamisha mada!! Hoja yangu ya msingi ni kwamba huwezi ku justify kutembea na mke wa mtu kwa kuhonga pesa nyingi. Kama comment yako ilivyojieleza so stick to it......Usichanganye habariHoja ni kwamba vijana mpunguze mihemko ni kosa kujichukulia sheria mkononi.
2.Ndoa ni ya watu walio komaa na kustaarabika kama unahisi huwezi kutatua matatizo yanayo husu ndoa tafadhali usijihusishe nayo.
Siku hizi manaowa tu kisa mnayo hela ya unga kuna zaidi ya kula na kupigana miti kwenye ndoa hizi..