FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Alikuwa anasubiri kuchijwa, pumbavu sanaHuyo mwanamke kama alijua amebeba mimba ya mwanaume mwingine alibaki anasubiri nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anasubiri kuchijwa, pumbavu sanaHuyo mwanamke kama alijua amebeba mimba ya mwanaume mwingine alibaki anasubiri nini?
Jamaa aliona hicho ndo kilikuwa kinaenda tokea ndomana akamuua angetumia tu busara kumwacha sio kuuwa huo ni ujinga na udhaifu...Sasa si aende akaishi na huyo anaehudumia? Ya nini kuhatarisha maisha yako na mtu humpendi?
Kwakweli, atakuwa alipagawa, dawa ni kuoa bila kufunga ndoa, inaweza isisaidie sana ila inarahisisha kumpiga chini na kuvuta mwingine kiurahisi zaidi, maana kuna possibility kubwa tu ya kumkana mahakamaniJamaa alitafakari yafhatayo.
1. Wakishaachana mkewe ataenda mahakamani kugawana mali
2. Hashindwi huyo manz kwenda ustawi kudai matumizi, hata akifkiria DNA anahisi kbsa ataambiwa yeye ndo mshua
3. Kuna kupigwa juju
4 Fedheha ya kutombewa hadi mimba juu
Sasa hapo unachokwepa ni nini?Uoe halafu usifunge ndoa inasaidia nini?Kinachoumiza wala sio makaratasi hayo,ni "MOYO",hujasikia watu wakiua sababu ya Girlfriend/boyfriend,hao wanakuwa kwenye ndoa ipi?Unambambikia mtu mtoto unategemea nini? Oeni lakini msifunge ndoa, ikitokea kakusaliti unaondoka zako unavuta chuma kipya..; kataa ndoa
Hata kama hakuna ndoa officially. At least kuna presumption of marriage. Uko shallow sanaUna uhakika walikuwa wanayo ndoa? Kwaiyo ndo mnafundishwa namna ya kutatua matatizo kwa kuuwa?? Stupido generation..
Sasa bora kukaa gerezani sio ....Jamaa alitafakari yafhatayo.
1. Wakishaachana mkewe ataenda mahakamani kugawana mali
2. Hashindwi huyo manz kwenda ustawi kudai matumizi, hata akifkiria DNA anahisi kbsa ataambiwa yeye ndo mshua
3. Kuna kupigwa juju
4 Fedheha ya kutombewa hadi mimba juu
Kwamba huyu mwamba hakujua kuhesabu miezi na tarehe aliyoondoka?Kwahiyo ukienda Machimbo ndiyo mtoto anakuwa siyo wako? What if kama alitungisha mimba na ndiyo akenda Machimbo? Wapi kwenye hayo maelezo wamesema kwamba jamaa alienda machimbo wakati mkewe alikuwa hana mimba? Kwahiyo mmeconclude kwamba jamaa alivyoenda machimbo mpaka anarudi alikuwa hajui kwamba mkewe mjamzito/amejifungua?
Kuna wengi wameua wapenzi wao na hawakua na ndoa.Shida ni ndoa, angekuwa ameoa tu bila kufunga ndoa, angeachana nae tu, shida ni kusaini like karatasi, unakuwa kifungoni, huwezi tu kuondoka
Yaani unasubiri hadi umejifungua ndio uondoke?! Huyo alipaswa apotee mwenyewe kabla hajazaa kabisaa, kusubiri hadi jamaa karudi ni kutafuta kifo cha mapemaJamaa aliona hicho ndo kilikuwa kinaenda tokea ndomana akamuua angetumia tu busara kumwacha sio kuuwa huo ni ujinga na udhaifu...
unaongea rahisi kweli hujui kuna mtu amekufa haya mapenz mkiyaendekeza wote mtaishia magereza eti dhana ya ndoa kwaiyo kila mahusiano tuweke dhana ni ndoa hiyo???Hata kama hakuna ndoa officially. At least kuna presumption of marriage. Uko shallow sana
Ndoa ni upendoSababu si mapenzi, sababu ni ndoa za kusaini mkataba wa kifungo
Shida ya kusaini makaratasi, inakufanya upotia mlolongo mrefu sana kuachana, yaani hadi uende mahakamani ukadaiwe mgao wa nyumba, inaleta maumivu zaidi...Sasa hapo unachokwepa ni nini?Uoe halafu usifunge ndoa inasaidia nini?Kinachoumiza wala sio makaratasi hayo,ni "MOYO",hujasikia watu wakiua sababu ya Girlfriend/boyfriend,hao wanakuwa kwenye ndoa ipi?
Kitendo tu cha kuanza kuishi na mwanamke nyumba moja tayari huyo yupo moyoni wala haisubiri makaratasi,utajidanganya tu.
Kama unakataa ndoa kataa jumla,na ukikataa pia usizae kabisa,yanini kutesa watoto.
Wale washenzi wa Kataa ndoa sometime wako sahuhi. Hata saa mbovu **** majiea inasoma kweli.Inasikitisha sana,Jamaa ni mental cases , mtoto ana wiki 2 unamchana tumbo? Binti ametoka kujifungua ndani ya week mbili unamuonea wivu wa kimapenzi?
umpelekee sabuni magereza huko unaandika hapa unafikiri lockup kunakuingia na simu..Nampongeza huyu mwanaume kwa kuwa na roho ngumu na katili kama yangu, siwezi kuhudumia mwanamke nikiwa mbali natafuta pesa, aombe matumizi nimpatie na kisha nirudi nimkute na mtoto wa mtu mwingine au mimba ya mtu mwingine, namuachaje kwa mfano, ila kama amejisusa hajala vyangu na Mali zangu sawa.
Huyu mwamba nampongeza sana kwa hayo maamuzi
Ila inarahisisha kuachana, tofauti na waliosaini makaratasiKuna wengi wameua wapenzi wao na hawakua na ndoa.
Improve your argument. Hakuna mtu aliye-justify kifo hapa.unaongea rahisi kweli hujui kuna mtu amekufa haya mapenz mkiyaendekeza wote mtaishia magereza eti dhana ya ndoa kwaiyo kila mahusiano tuweke dhana ni ndoa hiyo???