Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hapo ukute jamaa alikua anatuma pesa ya matumizi kwa mkewe yeye akisota huko mashimoni lakini mwanamke akagawa kavu kavu
Tucomment KabisaHuu uzi wakiuona vijana wa kataa ndoa tumekwisha.
Kwamba huyu mwamba hakujua kuhesabu miezi na tarehe aliyoondoka?
Vipi taratibu za usajiri zikoje? Kuna ada ya uanachama?Wakataa ndoa wameitisha mkutano wao wa tatu tokea chama hicho kuanzishwa mwaka jana kauli mbiu inasema KATAA NDOA KWA MANUFAA YAKO NA PESA ZAKO mkutano huo utafanyika mwishoni mwa mwezi huu
Umeambiwa chanzo ni mimba aliyopata Mshikaji akiwa Machimboni au hata kusoma hujui?Polisi wamesema chanzo ni wivu wa kimapenzi na kulikuwa na migogoro na hawakusema kwamba chanzo ni kwamba alibambikiwa mtoto....Kwenda machimbo hakuna uhusiano na kuwa mtoto siyo wake ,unaweza ukaa na mwanamke ndani kwa miezi yote 9 na mtoto asiwe wako.......Kuna watu wanakuwa na plan kwamba anampa mkewe ujauzito then anasafiri kwenda kusoma au kwenda kwenye mishe sehemu nyingine...Nyinyi wa ndani mnajua ila wa nje ndiyo watakuwa na maneno mbona jamaa hayupo lakini mkewe ana mimba.
Kwa akili hizi hata usioe wala kukaa na mtoto wa mtu. Utaishia jela kama mwenzako.Nampongeza huyu mwanaume kwa kuwa na roho ngumu na katili kama yangu, siwezi kuhudumia mwanamke nikiwa mbali natafuta pesa, aombe matumizi nimpatie na kisha nirudi nimkute na mtoto wa mtu mwingine au mimba ya mtu mwingine, namuachaje kwa mfano, ila kama amejisusa hajala vyangu na Mali zangu sawa.
Huyu mwamba nampongeza sana kwa hayo maamuzi
Ndiomana visa haviishi vya kuwabutua wanaume wapo, watu kama nyie hamjui Hussle za kwenye machimbo, Kaa kimya hujui chochote kuhusu maisha ya kuchimba madini,umpelekee sabuni magereza huko unaandika hapa unafikiri lockup kunakuingia na simu..
Hakuna kitu kama hiyo... wangap wameacha na wameanza upya mzee... sasa kuua kumempa nini...Shida ni ndoa, angekuwa ameoa tu bila kufunga ndoa, angeachana nae tu, shida ni kusaini like karatasi, unakuwa kifungoni, huwezi tu kuondoka
Hoja ni kwamba vijana mpunguze mihemko ni kosa kujichukulia sheria mkononi.Improve your argument. Hakuna mtu aliye-justify kifo hapa.
Sijui umeandika nini kuna mental case gani hapo?? Ambacho hujaelewa nini yani uende kutafuta unarudi mtu kajifungua how[emoji1784]shenzi zakeInasikitisha sana,Jamaa ni mental cases , mtoto ana wiki 2 unamchana tumbo? Binti ametoka kujifungua ndani ya week mbili unamuonea wivu wa kimapenzi?
Umeambiwa chanzo ni mimba aliyopata Mshikaji akiwa Machimboni au hata kusoma hujui?
Wewe ushaambiwa hadi ndugu walianza kuongea juu ya umri wa mimba na wakati wa mume kuwa yupo machimbo.., sasa sijui hata unabisha niniPolisi wamesema chanzo ni wivu wa kimapenzi na kulikuwa na migogoro na hawakusema kwamba chanzo ni kwamba alibambikiwa mtoto....Kwenda machimbo hakuna uhusiano na kuwa mtoto siyo wake ,unaweza ukaa na mwanamke ndani kwa miezi yote 9 na mtoto asiwe wako.......Kuna watu wanakuwa na plan kwamba anampa mkewe ujauzito then anasafiri kwenda kusoma au kwenda kwenye mishe sehemu nyingine...Nyinyi wa ndani mnajua ila wa nje ndiyo watakuwa na maneno mbona jamaa hayupo lakini mkewe ana mimba.
Hakuna Ada kwa sasa ..Vipi taratibu za usajiri zikoje? Kuna ada ya uanachama?
Siwezi kumpongeza kwa kuua na kutoa uhai wa binadamu. Lakini angalau unaweza kuelewa sababu ilikuwa ipiNampongeza huyu mwanaume kwa kuwa na roho ngumu na katili kama yangu, siwezi kuhudumia mwanamke nikiwa mbali natafuta pesa, aombe matumizi nimpatie na kisha nirudi nimkute na mtoto wa mtu mwingine au mimba ya mtu mwingine, namuachaje kwa mfano, ila kama amejisusa hajala vyangu na Mali zangu sawa.
Huyu mwamba nampongeza sana kwa hayo maamuzi
Usaliti ni hatari, watu wachukue tahadhari kama kujizuia wanashindwaWatu wanalaumu tuu bure
Imagine umeenda kumtafutia mkeo halafu huku nyuma anagawa utamu hadi mimba anapata na kuzaa juu ....hivi maumivu yake yanavumilika? Kila mtu Ana moyo wake wa kukabiliana na usalitii.
Sijui umeandika nini kuna mental case gani hapo?? Ambacho hujaelewa nini yani uende kutafuta unarudi mtu kajifungua how[emoji1784]shenzi zake
Kwahiyo ukienda Machimbo ndiyo mtoto anakuwa siyo wako? What if kama alitungisha mimba na ndiyo akenda Machimbo? Wapi kwenye hayo maelezo wamesema kwamba jamaa alienda machimbo wakati mkewe alikuwa hana mimba? Kwahiyo mmeconclude kwamba jamaa alivyoenda machimbo mpaka anarudi alikuwa hajui kwamba mkewe mjamzito/amejifungua?
Ada itaanza wanachama wakiwa wengiHakuna Ada kwa sasa ..
Tena usaliti wa kuzaa ndani ya ndoa na kutaka kumbambikia mtu inauma sana. Ni dharau kubwa mno.Usaliti ni hatari, watu wachukue tahadhari kama kujizuia wanashindwa