Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

Kwahiyo baada ya kupigwa miti nje na kuzaa kabisa bado akaendelea kukaa hapo hapo !!?! Alitegemea miujiza gani mwamba akirudi? Kuna watu bongo zao zimesizi sana
 
Hapo jiongeze chief...mgogoro ni huyo mtoto..
 
Mwache aende,umemwoa ana wazazi hujamiliki pumz yake....umemshindwa mwache aende
Sasa na yeye kashindwa vipi kuondoka mwenyewe mpaka njemba inarudi inamkuta wife ana mtoto? Mambo mengine ni kutafutiana lawama..
 
Bado unaishi kwenye agano la kale?[emoji28][emoji28][emoji28]stuka,chukua hatua maana kwa kupigwa kwake sisi tumepona,alipowambwa msalabani kwa aibu na siku ya 3 akafufuka,alisema yametimia ,ya kale yakafutwa tukaanza upya [emoji120][emoji120]
Hakuja kuitengua Torati bali kuikamilisha... Agano la kale bado linafanya kazi kwa kiasi kikubwa..
 
Mi kipindi flan tengeru nilitishiwa kisu na manzi angu... Nikamuambia hakikisha hukosei maana nikikupokonya hicho nakumaliza (mkwara tu ulikuwa [emoji16])... akagaili
 
my friend tumia muda utaelewa yaani nitoke nae nimgharamie, moyo wake siujui ila yuko nami na anakula vyangu, kisha afanye ujinga...
Na hao unaokutana nao viande wenzio Mimi ukinigusa hata kijikibao lazima nikulaze ndani siku tatu na nahakikisha wamekutoa malinda.
 
Wachaga nao wameshaanza kuwa na wivu.wao si pesa tu wake huwatelekeza
 
Wachaga nao wameshaanza kuwa na wivu.wao si pesa tu wake huwatelekeza
kwa zamani ilikuwa Haina shida kwao,hata mke akizaa na mtu mwingine jamaa akirudi mtt anakuwa wake,hii ikawa Mila ya kawaida kwao, lakini kwa Sasa Mambo yamekuwa tofauti Sana.

wengi wao wameshajua ubaya wa kufukiwa kizazi chako,yaani uzao wako unazikwa halafu unalea watt wa jamaa jingine ,na pili wanawake wa kichagga wa Sasa sio Kama wale wa zamani walioanzisha hii Mila wa Sasa hawana kifua anazaa na mtu mwingine halafu haishii hapo na atamuonyesha mtoto babae halisi akishakuwa mkubwa.

Sasa Pima maumivu yake hapo. Unalea mtoto kwa upendo wote licha ya kuwa utagundua huyu si wangu Ila unavumilia kulinda familia.

Halafu baadae mwanamke roho inamsuta anamwambia mtt babaake halisi.aise unaweza ukamimina bullets za kifua nyumba mzima. So sad!
 
Hapo jamaa ameoa tukikataa ndoa mnatuona tunapotosha kila siku story za majanga kwenye ndoa ni Bora tunapiga utelezi no commitment hata ukijua mtoto sio wako unasonga mbele
 
Watu wanalaumu tuu bure
Imagine umeenda kumtafutia mkeo halafu huku nyuma anagawa utamu hadi mimba anapata na kuzaa juu ....hivi maumivu yake yanavumilika? Kila mtu Ana moyo wake wa kukabiliana na usalitii.
Si unamuacha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…