Lawama zielekezwe kwa Mhe. Hakimu aliyemgongea muhuri na yeye kuweka saini yake. Kwanza angemuomba mgombea kwanza kuweka sahihi yake. sijui hapo atajitetea vipi.
Katika utaratibu hutakiwi kusaini panapokuhusu kitu nusu lazima iwe kamili ndipo usainiSio kazi ya hakimu kukagua form hakimu anasaini panapomhusu tu
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .
View attachment 1548954
Huwa hawasomi na kukagua,wao wanatafuta mahali anapotakiwa kuandika saini yake kwisha.Lawama zielekezwe kwa Mhe. Hakimu aliyemgongea muhuri na yeye kuweka saini yake. Kwanza angemuomba mgombea kwanza kuweka sahihi yake. sijui hapo atajitetea vipi.
Kwa jinsi hii hata za wale watakatifu waliopitishwa pasi kupingwa zikaguliwe tu tuzidi kuona viroja!!Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .
View attachment 1548954
Usikute ilipelekwa na kiongozi wa chama kwa maelekezo na si mhusika.Lawama zielekezwe kwa Mhe. Hakimu aliyemgongea muhuri na yeye kuweka saini yake. Kwanza angemuomba mgombea kwanza kuweka sahihi yake. sijui hapo atajitetea vipi.
Like son like fatherHao wagombea 18 waliopitishwa baada ya wapinzani wao kuondolewa ndio ilikuwa hivi wasimamizi walikuwa wanakagua mapungufu ya fomu za wagombea wapinzani wa ccm tu
Ni vyema Sasa fomu za hata akina kabudi , nape, abood, ndugai, ndejembi, mavunde, na wengine waliojitapa tayari kupitishwa zikaguliwe zinaweza kuwa na makosa kibao
Naaaam. Sheria walitunga CCM wenyewe acha sasa ziwarudi.Tutaelewana tu, ngoja tuonyeshane makali.
Unadhani huko unakosikia wabunge wa CCM wamepita bila kupingwa kuna nini vimetokea?? Ni vitu vidogovidogo kama hivyo. Pia kitendo cha mtu kukamatwa na vyombo vya dola siku ya kurejesha form kwa tuhuma za uraia au rushwa na hivyo akashindwa kurejesha, unalionaje? Haya yasingeweza kusubiri arejeshe kwanza???Mbona kujaza fomu imekuwa ishu sana. Hv mtu akapeleka hiyo fomu hata kunakitu kasahau haiwezekani akaambiwa rekebisha kipengele flani afu uilete upya? Tume inapaswa kurekebisha haya Mambo.
Huyu apigwe chini! Bila uhuni wala nongwa!Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .
View attachment 1548954
Fomu inatolewa moja tu na hiyo hiyo ndio inarudishwa kwa msimamizi na hiyo inayorudishwa ndio mpinzani wako anapewa aikagueHiyo Ni copy original kasaini Mbona
Huyo amekosa sifa za kuwa Mgombea kwa sababu bila hiyo TAMKO unakuwa huna sifa hata moja, hiyo ni hasara kubwa sana kwa Chama chetu na hakuna namna nyingine kwani fomu ingetokaje kwake kwenda kwa mpinzani wake? Hii ni technical knock out-KO