Uchaguzi 2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

NEC na ccm ndo walewale
 
Kabisa wasimamizi wawe wazeshaji sio kikazwo.

Yaani wananchi wanyimwe haki yao ya kidemokrasia kumchagua kiongozi wanaemtaka kisa ujazaji wa form. Logic says the former is more important than the latter.

Huu utaratibu wa kuenguana kisa form kwakweli ni wa kuupinga mahakamani. Inaondoa dhana nzima ya wananchi kuchagua kiongozi wao.
 

.... an incurably defective jurat ....
Halafu Advocate Tadayo is sooo senior, hakuliona hilo?
Hapa hakuna mjadala, FORM HAIKUKAMILIKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…