OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
pingamizi la maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NEC na ccm ndo walewaleHii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .
View attachment 1548954
Kabisa wasimamizi wawe wazeshaji sio kikazwo...jamani Joseph Tadayo amegombea nadhani mara 3 dhidi ya Prof.Jumanne Maghembe.
..sasa safari hii amepenya, then mnataka akatwe kwa makosa madogo-madogo kama hili?
..ndiyo maana nasisitiza wasimamizi na tume wawe WAWEZESHAJI wa wenye nia ya kugombea, kamwe wasiwe kikwazo kwa wenye nia za kugombea nafasi mbalimbali.
cc Kilatha, johnthebaptist , tindo
Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye fomu kama mapambo , ilipaswa kujazwa .
View attachment 1548954