The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Ni kweli vijana kilimanjaro wameharibika namuunga jamaa mkono hoja yake.
Vijana wameharibikiwa na pombe pia hilo halina mjadala.
ubenteni pia upo sana, majimama ya kichagga yanapenda vijana na vijana wanapenda kulelewa, na vibinti vinaliwa na vibabu mbwa kabisa.
Kwenye ushoga bado sijajua ila nimeona kwa baadhi wanafanyana.