Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

Kilimanjaro ina tsmsduni nyingi . Mji wa moshi wanaishi makabila hasa kutoka Tanga na Bukoba . Moshi mjini hawaishi wachagga. Tazameni YuLE Meya wa ccm alikua mchagga?
 
Tunawapa promo sana hawa viumbe af kibaya tunaishia kulalama tuu me nmechoka na uzi za makocho... unless unakuja na mbinu za kutokomeza or way foward. Kila napo log in lazima wanaongelewa mpaka napata mashaka na hii platform 🤔.
 
Sio wote japo umaskini umekuwa chanzo Cha matatizo makubwa sana hasa ya kiakili,,,zaidi umemchapa mmoja TU ukajiona kama umemchapa wengi.
Kilimanjaro hakuna hali mbaya ya umaskini angalau wanajiweza tatizo ni muingiliano ...Wachaga Wana sifa nzuri kama usomi na biashara la kwa vizazi vya nyuma ndo vimewabeba sana ila jamii zao za sasa ni ovyo sana .

Kilimanjaro ya zamani walikuwa wanakunywa pombe kama Mila sio sasa wanakunywa kama chakula yaani ila kushinda kweny vibanda..kama unabisha angalai ile idadi wanaenda si unaona kubwa mwezi December ila sio wote wengi wameacha tamadanu zao za zamani.

Yule jamaa wa juzi si umeona kakataa kujenga kwao ndo maana wakalazimisha azikwe bagamoyo ni kwamba wanaenda against kinachowabeba ni historia...Hata huyo aliyekufa kweny vita ya Ukraine anaenda kuzikwa mbeya.
 
Back
Top Bottom