Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

Ni kweli vijana kilimanjaro wameharibika namuunga jamaa mkono hoja yake.

Vijana wameharibikiwa na pombe pia hilo halina mjadala.

ubenteni pia upo sana, majimama ya kichagga yanapenda vijana na vijana wanapenda kulelewa, na vibinti vinaliwa na vibabu mbwa kabisa.

Kwenye ushoga bado sijajua ila nimeona kwa baadhi wanafanyana.
 
Nadhani mipango ya baadhi ya wazungu inataka mbeleni mimba zitungwe kwa kupandikiza tu. Hapo watakua kwenye maabara za kuunda mbegu bila vinasaba vya mwanaume. Kama kuku wa kisasa wanavyotanga bila kupandwa
Ninawahurumia mabinti wa karne ijayo itakuwa mwendo wa kununua dudu za dukani
 
Nilienda kufanya field yangu huko mweka miaka fulani hivi basi jamaa aliniganda sana na kuniomba sana namba nilipata mashaka ila nikasema ngoja nione bwana wee siku ananitumia sms live kuwa mnduku unamuwasha nikaupige, kuja kuangalia mitaa ya kule nikagundua wengi sana wanawekwa ila jambo la kuzingatia malezi,asimilia mia kule wanalelewa na mabibi wazee sasa muda wa uangalizi unakua mdogo,pili BILA KUPEPESA MACHO ,watu wa kaskazini hasa kilimanjaro na arusha ni waumini wakubwa wa kanisa fulani hivi .sasa lile dhehebu kwa kweli viongozi wake wana uchafu mwingi saaaana na kwa kiasi kikubwa ndio wanachangia sana kuwaharibu watoto nao watoto wakitoka huko kwao wanaingia mitaani kuwalawiti na wenzao mwisho wa siku mambo ndo yanaibuka kwa kasi
 
Mh
 
aya mambo kwa kaskazini ayakuepo sijui kuna shetani gani kaingia.
👇
jamiiforums.com
https://www.jamiiforums.com › upd...
Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi
 
Weka picture au video
 
Ukosefu wa maadili katika jamii zetu ndio madhara Yake hayo.
Wazazi wa ckuiz wamekuwa hovyo Sana hawana haha ya kuwafundisha watoto wao maadili mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…