LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
pumzika mama, umechokaHata masia wenu kashasema hamna akili
pumzika mama, umechokaHata masia wenu kashasema hamna akili
Uko sahihi.Usijielezee sana 😁😁
Kwa kawaida wachagga si watu polite sana lakini pia wapo aggressive . Kwa hiyo ukiwa mtaratibu na mwenye low energy, ile high energy na kauli zao zitakukera...
Kwenye ubaguzi , not sure Ila wachagga na watu wa Arusha wanathaminiana na kupeana support wao kwanza kabla ya mtu asie wa kwao UNLESS ataonesha boldness and agresiveness wanayoihitaji. Nina marafiki wengi wachagga na kiuhalisia hawawi na marafiki pasipo kuona potential flani, "maslahi kwanza kabla ya hisia" 😁
By the way, sijawahi fika uchagani so siwezi waongelea wachagga wakiwa uchagani, ngoja niwaachie wanajeiefu📌
Hiyo nzuri mkuu kuliko kulalamika sana. Sometimes huwezi wabadilisha watu ili wawe unavyotaka Ila unaweza ji_tune ili uishi na watu freshUko sahihi.
Hata mimi nilikuwa nacheza nao kwa staili hii ya kuonyesha umuhimu kwenye jambo fulani ndipo nikaweza kusurvive kwa miaka kadhaa
Umesema unafundisha English?ukipangwa kazi usukumani utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you.
Hiki kichaka mnachotumia kama kisingizio ni kichekesho. Ni uzembe kuandika vibaya, hasa kwa wewe uliye mwalimu wa lugha. Unapungukiwa nini ukifanya kitu kwa ukamilifu?unachoshangaa ni nini wakati hapa niko huru kutumia rejista ya neno/istilahi/contex/sarufi/grammer nitakavyo? Elewa sipo darasani nao unakosoa sentensi hizo hizo kana kwamba nalazimika kutumia lugha, kiswahili sanifu/proper english. Hapa huwa tuko huru kutumia misamiati na maneno fulani kulingana na mukhtadha wa mada na unaandika ukiwa wapi. Sijaandika habari/makala gazetini kiasi cha kulazimika kutumia lugha na maneno sahihi, hata hivyo si kazi yangu kuhariri na kuhakiki usahihi wa maneno
sipingani na hoja yako, nadhani utakuwa umeona uandishi wa meseji/arafa zinavyoandikwa hovyo kwenye simu. Sasa ni mwalimu gani wa lugha tena kijana ataandika arafa kwa lugha sanifu?Hiki kichaka mnachotumia kama kisingizio ni kichekesho. Ni uzembe kuandika vibaya, hasa kwa wewe uliye mwalimu wa lugha. Unapungukiwa nini ukifanya kitu kwa ukamilifu?
Haidhuru, tujitahidi.sipingani na hoja yako, nadhani utakuwa umeona uandishi wa meseji/arafa zinavyoandikwa hovyo kwenye simu. Sasa ni mwalimu gani wa lugha tena kijana ataandika arafa kwa lugha sanifu?