Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Acha urongo, hayo yapo Kilimanjaro tu hasa Moshi. Tanga, Arusha na Manyara hata harufu ya ubaguzi huwezi kuhisi. ARUSHA ni mji wa kimataifa huo upuuzi hauna nafasi. Manyara hakuna mtu anakuwaza labda hujatembea, sasa mpaka Tanga unaitaja? Watu wa Tanga na ukanda wote wa Pwani hawana huo ushamba na roho za kimaskini km
Acha urongo, hayo yapo Kilimanjaro tu hasa Moshi. Tanga, Arusha na Manyara hata harufu ya ubaguzi huwezi kuhisi. ARUSHA ni mji wa kimataifa huo upuuzi hauna nafasi. Manyara hakuna mtu anakuwaza labda hujatembea, sasa mpaka Tanga unaitaja? Watu wa Tanga na ukanda wote wa Pwani hawana huo ushamba na roho za kimaskini km za wachaga

Acha urongo, hayo yapo Kilimanjaro tu hasa Moshi. Tanga, Arusha na Manyara hata harufu ya ubaguzi huwezi kuhisi. ARUSHA ni mji wa kimataifa huo upuuzi hauna nafasi. Manyara hakuna mtu anakuwaza labda hujatembea, sasa mpaka Tanga unaitaja? Watu wa Tanga na ukanda wote wa Pwani hawana huo ushamba na roho za kimaskini km za wachaga
Nimefika Moshi na Arusha ndizo sehemu nilizozilenga hapo.
Hao wa Tanga,Manyara waondoe na ndio maana kama ulifuatilia comments zangu zote kuna mahali nimewasifia watu wa Tanga na Manyara wenyewe wako vizuri.
Siwezi kudanganya hata kidogo yote ninayoyaongea hapa yamenitokea na kuyashuhudia ukweli usemwe tu tuweke ushabiki pembeni.
Upande wa Arusha hapo ukiingia mitaani na maofisini bado kuna asilimia kubwa ya watu wa kutoka Moshi/Kilimanjaro, wafanyabiashara wengi pia ni wa kutoka Moshi/Kilimanjaro utawatambua kiurahisi tu kwa majina yao na lafudhi yao.
 
nimesema silei ujinga shuleni. Darasa langu hufaulu wote, naeleweka vema kwa wanafunzi wangu sitanii, naona bado unashangaa tu, hebu nenda VETA ukajifunze ujuzi, acha kunishangaa mi mwalimu mjuvi wa mambo mengi kuliko walimu uliowahi kuwaona
Mwalimu mpumbavu wewe
 
Waone wanavyoona bwashee binafsi mimi marafiki zangu ni wahaya wasukuma , wapare watu wa Dom singida na wangoni
Huu ni ubaguzi 😁😁 kwa hiyo si wengine hatuna quality bro
 
ukipangwa kazi usukumani utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you.
Bure tuuu ama kulipia ni mbele ya safari??
 
Tunawaambiaga hakuna binadamu wabaguzi km wachaga hapa duniani muelewe. Wachaga ni watu hatari sn bahati mbaya watanzania tumekuwa tukiwapokea ktk maeneo yetu na kuwapa ardhi, tumekuwa wateja kwenye biashara zao wametajirikia kwenye maeneo yetu vinginevyo wangekuwa mafukara maana kule kwao hakuna rasilimali yoyote ni umaskini wa kutupwa. Watanzania tubadilike tuwabague na wenyewe kwenye mikoa yetu hakuna kwenda kununua kwenye biashara ya wachaga, tuwakatae kufanya shughuli kwenye maeneo yetu warudi kwao. Dawa ya moto ni moto majinga kabisa. Tuamke hakuna utaifa kila mtu alinde kwao tuwe km Trump, revenge ili nao wajifunze. Kwa taarifa huwezi kufanya biashara Moshi wakishagundua we si mchaga hakuna mtu atakuja kwenye biashara yako ndiyo maana mji wa Moshi umedumaa km mtoto mwenye Kwashiakor. Tuwafukuze hao washenzi warudi kwao.
Eti na wao huwa wanamsema vibaya Nyerere.

Wangekuwa nchi, au Nyerere asingeua umangi na uchifu hicho kiardhi chao kiduchu wangeuana waishe
 
Back
Top Bottom