hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Sawa siwezi kukukatalia.Udokta na uinjinia ni kitu kikubwa duniani Kote bwashee
Sawa siwezi kukukatalia.Udokta na uinjinia ni kitu kikubwa duniani Kote bwashee
Sema wanatumbi tunakichukulia rahisi tu🤔Sawa siwezi kukukatalia.
Acha urongo, hayo yapo Kilimanjaro tu hasa Moshi. Tanga, Arusha na Manyara hata harufu ya ubaguzi huwezi kuhisi. ARUSHA ni mji wa kimataifa huo upuuzi hauna nafasi. Manyara hakuna mtu anakuwaza labda hujatembea, sasa mpaka Tanga unaitaja? Watu wa Tanga na ukanda wote wa Pwani hawana huo ushamba na roho za kimaskini km za wachagaKwa upande wa mikoa ya kaskazini hadi mijini tabia zao ni hizo hizo.
Ukifungua biashara hawaji kununua hadi uwe mzawa wa huko na kama ni kazini hawakupi ushirikiano ili kazi uione ngumu uondoke.
Nilishawahi kuishi kaskazini tena maeneo ya town
Kwani chuo alisoma kwao? Kimsingi nchi ni yetu sote Tanzania ndio kwetu sema kuna wangese km hao wachaga wanatuharibia ustaarabu wa nchi yetu. Ukitokea ubaguzi wa kikabila kabila litakaloumia na hata kukimbia nchi ni haohao wachaga sijui kwanini wanafanya uchokozi utakawaumiza. Ila Mungu ni fundi ndio maana kawanyima utajiri wa asiliKila mtu arudi kwao ,dogo yuko Arusha eti nataka kufanya kazi mbali na nyumbani ..Anaumwa kaletwa anauguzwa hataki kurudi huko 😂😂unapendaje sehemu sio kwenu kama sio utumwa.
Yapo Kilimanjaro tu kivip , wakati hata hiyo arusha na manyara watu wanaojielewa zaidi ni wenyeji wa Kilimanjaro?Acha urongo, hayo yapo Kilimanjaro tu hasa Moshi. Tanga, Arusha na Manyara hata harufu ya ubaguzi huwezi kuhisi. ARUSHA ni mji wa kimataifa huo upuuzi hauna nafasi. Manyara hakuna mtu anakuwaza labda hujatembea, sasa mpaka Tanga unaitaja? Watu wa Tanga na ukanda wote wa Pwani hawana huo ushamba na roho za kimaskini km za wachaga
pro kobaziEnyi wagalatia msio na akili ni nani aliye wa.......
ni kawaida uzi kuwa na vimijadala vingine vidogodogoUzi umeingia sehemu ya ukabila haya
Unavyosema wanaojielewa una maana gani, we ngedere la kichaga hakuna unalojua rudi kwenu ufe njaa. Arusha na Manyara ambao ulikuwa mkoa wa Arusha ni mkoa tajiri na wenyeji wake ni wachapakazi matajiri wa mali asili wachaga walihamia Arusha hasa mjini miaka ya 1990 baada ya kuona utajiri wa Arusha, Hata leo wachaga wamejishikiza kwa wenyeji wa hiyo mikoa kufanya biashara kwasababu wana purchasing power kubwa. Wachaga ni km chawa tu, ni wachuuzi si wazalishaji we hakuna unalojua. Mchaga anahamia sehemu imeshaendelea mchaga km yeye hana uwezo wa kuendeleza eneo lolote ndio maana wameshindwa kupaendeleza kwao, nenda Rombo, huko Machame, Kibosho ni michosho ni njaa. Danganya majinga sio tunaowajua hao wajinga in and outYapo Kilimanjaro tu kivip , wakati hata hiyo arusha na manyara watu wanaojielewa zaidi ni wenyeji wa Kilimanjaro?
Leo ni zamu ya kaskazini kusimangwa...Hakuna mwalimu anabaguliwa uchagani labda kwa watu wajinga ambao kwa Tanzania wapo kila sehemu , binafsi kuna walimu wengi wamepanga huko nyumbani hadi mashamba ya migomba tumewapa bure kabisa na nyumba hawalipi hata sumni.
Pole mkuu unajua hata marekani na ulaya bado wachaga wanakimbiza ukitoa igbo wakikuyu wasomali kwa Black from Africa na ebony from Africa continental?Unavyosema wanaojielewa una maana gani, we ngedere la kichaga hakuna unalojua rudi kwenu ufe njaa. Arusha na Manyara ambao ulikuwa mkoa wa Arusha ni mkoa tajiri na wenyeji wake ni wachapakazi matajiri wa mali asili wachaga walihamia Arusha hasa mjini miaka ya 1990 baada ya kuona utajiri wa Arusha, Hata leo wachaga wamejishikiza kwa wenyeji wa hiyo mikoa kufanya biashara kwasababu wana purchasing power kubwa. Wachaga ni km chawa tu, ni wachuuzi si wazalishaji we hakuna unalojua. Mchaga anahamia sehemu imeshaendelea mchaga km yeye hana uwezo wa kuendeleza eneo lolote ndio maana wameshindwa kupaendeleza kwao, nenda Rombo, huko Machame, Kibosho ni michosho ni njaa. Danganya majinga sio tunaowajua hao wajinga in and out
Tupo live mkuu🤣Leo ni zamu ya kaskazini kusimangwa...
Next stop sijui itakuwa wapi 😁
Lakini ufaulu wa kanda hiyo hasa Mkoa wa Kilimanjaro unaridhisha tofauti na huko Tanga, Lindi na kule Kusini Unguja, yaweza kuwa ndio sababu?.Kuna shule moja huko moshi vijijini kata ya Arusha Chini/TPC Mkoani Kilimanjaro mi na mwenzangu kutoka Lushoto mkoani Tanga, mwenzangu huyo ni msambaa tulipangiwa shule tukakuta walimu ni wachaga watupu wa Kibosho na Uru tu, Tulitishika kidogo ila tulipata moyo kwa kuwa hata hao walimu si wazawa wa kijiji hicho kilichopo ukanda wa Moshi Chini, kule ni waarusha chini na wamasai nako jamii ya pale ilitamani sana kupata walimu wazawa wa eneo hilo. Baadaye mwenzangu alirudi kwao kwa uhamisho wa kubadilishana wilaya nikabaki peke yangu katikati ya wachaga, Bahati nzuri staff iligawanyika pande mbili hasimu mi nikawa neutral katikati ya walimu wachaga sikuogopa kutengwa na kubaguliwa sababu nilikuwa mkali mno kwenye ubaguzi wa kikabila kwa hoja kuwa mi ni mtanzania napangwa kazi mahali popote Tanzania. Kule Kilimanjaro kuna shule utakuta walimu ni wachaga tu au wapare tu. Akitokea ofisa elimu ni mchaga walimu wachaga hufurahia hali kadhalika akiwa mpare walimu wapare hufurahia wanaona watasikilizwa shida zao
Usijielezee sana 😁😁Tupo live mkuu🤣
Wachaga wala hatuna mahusiano na watu wa arusha kwa namna yoyote labda wao wajipendekeze kwetu mkuu.Usijielezee sana 😁😁
Kwa kawaida wachagga si watu polite sana lakini pia wapo aggressive . Kwa hiyo ukiwa mtaratibu na mwenye low energy, ile high energy na kauli zao zitakukera...
Kwenye ubaguzi , not sure Ila wachagga na watu wa Arusha wanathaminiana na kupeana support wao kwanza kabla ya mtu asie wa kwao UNLESS ataonesha boldness and agresiveness wanayoihitaji. Nina marafiki wengi wachagga na kiuhalisia hawawi na marafiki pasipo kuona potential flani, "maslahi kwanza kabla ya hisia" 😁
By the way, sijawahi fika uchagani so siwezi waongelea wachagga wakiwa uchagani, ngoja niwaachie wanajeiefu📌
Nilimaanisha kitabia ya kupendana na kusupportiana. Ni sawa na wakinga pia.Wachaga wala hatuna mahusiano na watu wa arusha kwa namna yoyote labda wao wajipendekeze kwetu mkuu.
kuona yaani mtoto wengi ndiyo maana wanafeli kwasababu ya waalimu wapumbavu kama wewe,shitholetema mate chini mpuuzi wee, kila uzi we unafikiri ukobazi tu
Waone wanavyoona bwashee binafsi mimi marafiki zangu ni wahaya wasukuma , wapare watu wa Dom singida na wangoniNilimaanisha kitabia ya kupendana na kusupportiana. Ni sawa na wakinga pia.
Halafu kusema "wajipendekeze".. Utaitwa mbaguzi kwa kujiona special 😁😁😁😁
nimesema silei ujinga shuleni. Darasa langu hufaulu wote, naeleweka vema kwa wanafunzi wangu sitanii, naona bado unashangaa tu, hebu nenda VETA ukajifunze ujuzi, acha kunishangaa mi mwalimu mjuvi wa mambo mengi kuliko walimu uliowahi kuwaonaMwalimu mjinga wewe sijapata
kuona yaani mtoto wengi ndiyo maana wanafeli kwasababu ya waalimu wapumbavu kama wewe,shithole