Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Watu wa Pwani ni wakarimu kwa kila mtu ila ubaya wao unakuja ikitokea umewachokoza au umewadharau kwa namna fulani ndio watataka wakuonyeshe jeuri ila kinyume na hapo ukiwa mtu peace utaenjoy sana hata vyakula utakuwa unaletewa bure na mke unapewa
sio ukiwa peace , watu wa pwan , hawatak uoneshe maendeleo yako , wanataka uish kama wao na hutakiw kuwaoneshea mapunguf yao yaan uwaache kama ulivyowakuta , wapo sahihi au hawapo sahihi waache ndio maana mpk leo huez ona engineer mzaramo au daktari mzaramo , mifumo ya inawadumaza kuwa wajinga tangu mapema
 
Wazazi radical huwa nawapenda sana shuleni najua kuwakabili parallel and perpendicular, huwa silei ujinga na upuuzi shuleni, sikufundishwa hivyo shuleni tangu naanza kusoma hadi kufanya kazi ya kulea watoto shuleni wakati wazazi wao wanafanya shughuli zao mi na deal na akili za watoto wao halafu mzazi aje anilitee nyokonyoko, patachimbika, sitakagi ujinga
 
Tuacheni unafiki hii nchi ina ukabila kila sehemu. Mikoa niliyozaliwa na niliyotembelea unakuta makanisa yanakuwa na ibada inayoendeshwa kwa lugha ya eneo hilo husika. Hivyo padri, mchungaji au mwinjilisti akipangiwa huko lazima ajue hiyo lugha ya asili ya hilo eneo na ikiwezekana awe mzawa kabisa.
 
sio ukiwa peace , watu wa pwan , hawatak uoneshe maendeleo yako , wanataka uish kama wao na hutakiw kuwaoneshea mapunguf yao yaan uwaache kama ulivyowakuta , wapo sahihi au hawapo sahihi waache ndio maana mpk leo huez ona engineer mzaramo au daktari mzaramo , mifumo ya inawadumaza kuwa wajinga tangu mapema
Acha uongo wapo kibao ,hata wanawake kweny fani ...Watu wa pwani hawana title za kiheshima,vitu vingi wnaona kawaida : kuna watu wamesoma ila sio rahisi kuwajua ,majina yao ya ukoo wanatumia ya kiislam so rahisi kuwatambua hata makazini...Hapa kazini kwetu yupo engineer tegemezi ni mzaramo jina la ukoo wake ni Hassan ,unaweza kumjua ?

Nimesoma nao na wengi wako vitengo ni kawaida sana ,wanaishi maisha ya kawaida ...Wapo wadada huku kweny unesi ,wengine ni walimu sio rahisi kuwajua ,hawanaga title ni kama ushamba kwao.
 
Tuacheni unafiki hii nchi ina ukabila kila sehemu. Mikoa niliyozaliwa na niliyotembelea unakuta makanisa yanakuwa na ibada inayoendeshwa kwa lugha ya eneo hilo husika. Hivyo padri, mchungaji au mwinjilisti akipangiwa huko lazima ajue hiyo lugha ya asili ya hilo eneo na ikiwezekana awe mzawa kabisa.
kuna kanisa moja huko iramba, itigi, simanjiro lugha inayotumika ni ya eneo hilo tu, kama hujui huambulii kitu
 
Kuna shule moja huko moshi vijijini kata ya Arusha Chini/TPC Mkoani Kilimanjaro mi na mwenzangu kutoka Lushoto mkoani Tanga, mwenzangu huyo ni msambaa tulipangiwa shule tukakuta walimu ni wachaga watupu wa Kibosho na Uru tu, Tulitishika kidogo ila tulipata moyo kwa kuwa hata hao walimu si wazawa wa kijiji hicho kilichopo ukanda wa Moshi Chini, kule ni waarusha chini na wamasai nako jamii ya pale ilitamani sana kupata walimu wazawa wa eneo hilo. Baadaye mwenzangu alirudi kwao kwa uhamisho wa kubadilishana wilaya nikabaki peke yangu katikati ya wachaga, Bahati nzuri staff iligawanyika pande mbili hasimu mi nikawa neutral katikati ya walimu wachaga sikuogopa kutengwa na kubaguliwa sababu nilikuwa mkali mno kwenye ubaguzi wa kikabila kwa hoja kuwa mi ni mtanzania napangwa kazi mahali popote Tanzania. Kule Kilimanjaro kuna shule utakuta walimu ni wachaga tu au wapare tu. Akitokea ofisa elimu ni mchaga walimu wachaga hufurahia hali kadhalika akiwa mpare walimu wapare hufurahia wanaona watasikilizwa shida zao
Ndio maana sasa hivi wazazi wengi wanaojielewa hawasomeshi shule za serikali ziwe msingi au sekondari kuepuka huo upumbavu
 
Ndio maana sasa hivi wazazi wengi wanaojielewa hawasomeshi shule za serikali ziwe msingi au sekondari kuepukq huo upumbavu
ni wapi utapeleka mtoto wako akalelewe kindezi na kimayaimayai kama unavyomlea nyumbani kwako? Kifinyo atakipata tu popote aendapo kama unamlea kindezindezi kwako
 
Watu wa Pwani ni wakarimu kwa kila mtu ila ubaya wao unakuja ikitokea umewachokoza au umewadharau kwa namna fulani ndio watataka wakuonyeshe jeuri ila kinyume na hapo ukiwa mtu peace utaenjoy sana hata vyakula utakuwa unaletewa bure na mke unapewa
Watu wapwani wabaya sana wanapenda kurogana na awependi kuona Maendeleo ya mtu ndiyo Maana sehemu wanazoishi jamii ya pwani kukuta maendeleo binafsi ya mtu ni ngumu utakuta mtu ana pesa lakini anaishi maisha ya hovyo anaish kwenye Nyumba ya siyo nzuri, Nilishi Zanzibar nilipanga Nyumba zenye familia za Wazanzibar ni wachoyo wanakula bila hata kukalibisha ni tofauti na Wa Mama wa TANZANIA BARA, Wa Mama wa Tanganyika siyo wachoyo wa chakula.
 
Hvi kumbe ukabila bdo upo?

Ila MSUKUMA yupo poa sana.
Mkalimu hana ubaguzi sema ana utani mwingi haswa kwa wenzetu wa kigoma na burundi
Hakuna mwalimu anabaguliwa uchagani labda kwa watu wajinga ambao kwa Tanzania wapo kila sehemu , binafsi kuna walimu wengi wamepanga huko nyumbani hadi mashamba ya migomba tumewapa bure kabisa na nyumba hawalipi hata sumni.
 
ni wapi utapeleka mtoto wako akalelewe kindezi na kimayaimayai kama unavyomlea nyumbani kwako? Kifinyo atakipata tu popote aendapo kama unamlea kindezindezi kwako
Yani Mtoto asahau begi uwanjani Mwalimu aliokote halafu ampe mtoto bila kumpa kipingo, mtoto lazima apinge ili kuokoa kizazi cha Ushoga na Malaya wanao jiuza.
 
Don't take it personal
Si unajua kuna mijitu ya ovyo humu! Huyu kwa hii comment tu inaonekana ana chuki, na mtu akiwa na chuki anaishi na maumivu tu siku zote. Mie mchaga lkn wala hajanikera 😅😅😅
Hapana kwa kwel siwezi vumilia , labda iwe humu ma modereta wetu wamebariki hili jambo ,nitalilinda hili kwa wivu mkubwa.
 
sio ukiwa peace , watu wa pwan , hawatak uoneshe maendeleo yako , wanataka uish kama wao na hutakiw kuwaoneshea mapunguf yao yaan uwaache kama ulivyowakuta , wapo sahihi au hawapo sahihi waache ndio maana mpk leo huez ona engineer mzaramo au daktari mzaramo , mifumo ya inawadumaza kuwa wajinga tangu mapema
Ndio kitu kilekile nilichoongea mwanzoni hawataki uvimbe au uwatambie na ukwasi ulionao hata kama una pesa tumia kimyakimya bila ya kelele hata kama una nyumba nzuri na gari wikiendi paki nenda kacheze nao bao hapo hawana ugomvi na wewe ila kama una gari halafu unawafungia vioo na kuwapita bila salamu unatimua vumbi hapo ndio utata
 
Eti mzazi ni zero brain kapitapita shuleni haijulikana alikwa anashika namba gani darasani, ana visenti vyake, kazaa mtoto anataka mtoto wake alelewe kizembezembe huko shuleni. Hakuna mwalimu mzembe wa kulea watoto kizembe. Mzazi atafute mjori wake wa kumlelea mtoto kizembe. Shuleni hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa mwanafunzi mzembe na hakuna shule ya kizembe kwa watoto wazembe
 
Back
Top Bottom