Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

kuna maeneo nchi hii ukipangiwa kufundisha huko unakuta wanafunzi ni wa dini fulani, watoto wana dharau balaa wanaona wanafundishwa na kafiri, hawazingatii unachowafundisha
Mkuu dawa yao ni kuwaacha Asala ni yao na Wazazi wao, ndiyo Maana baada ya Serikali ya awamu ya sita kuanza kazi Raisi alifuta kutangaza matokeo ya Shule kitaifa ili kuficha Mauzo ya kwao, ndiyo Maana ata kwenye Ajira za Serikali ana fanya kutangaza Ajira kibaguzi we Angalia Tangazo la Ajira la Jeshi la polisi limeweka sifa tofauti WaTanganyika wamewekewa sifa zao na Wazanzibar wamewekewa sifa za zao za kujiunga Jeshi la polisi ni uwe umesonea hotel management, ambapo vijana Wa Tanganyika awajapewa nafasi hizo.
 
Uchagani hakuna watu wanaheshimika kama wageni hata nyumba ya kukaa bure na shamba la kulima bure unaweza pewa ila code usiwe na maringo tu.
 
sio ukiwa peace , watu wa pwan , hawatak uoneshe maendeleo yako , wanataka uish kama wao na hutakiw kuwaoneshea mapunguf yao yaan uwaache kama ulivyowakuta , wapo sahihi au hawapo sahihi waache ndio maana mpk leo huez ona engineer mzaramo au daktari mzaramo , mifumo ya inawadumaza kuwa wajinga tangu mapema
Hawapendi Maendeleo na wanapenda Ushirikina ukifungua Biashala au jengo zuri kwenye maeneo yao hawapendi ila wana furahi kuishi kimasikini kwa kificho cha Dini, wakati waarabu wenye Dini yao hawaishi kama Muislam wa MBURAHATI.
 
Uchagani hakuna watu wanaheshimika kama wageni hata nyumba ya kukaa bure na shamba la kulima bure unaweza pewa ila code usiwe na maringo tu.
ni kweli nyumba zipo za bure huko kibosho, uru, mandaka, uchira, marangu na kwingine uchagani mgeni unakaa bure tu ila usiwe na nyodo kwa wenyeji
 
ni kweli nyumba zipo za bure huko kibosho, uru, mandaka, uchira na kwingine uchagani mgeni unakaa bure tu ila usiwe na nyodo kwa wenyeji
Nashukuru sana kwa kunielewa ,hakuna mchaga anapenda nyodo , ukijishusha utawafaidi sana wachaga ,wanakua kama mazuzu tu.
 
Watu wapwani wabaya sana wanapenda kurogana na awependi kuona Maendeleo ya mtu ndiyo Maana sehemu wanazoishi jamii ya pwani kukuta maendeleo binafsi ya mtu ni ngumu utakuta mtu ana pesa lakini anaishi maisha ya hovyo anaish kwenye Nyumba ya siyo nzuri, Nilishi Zanzibar nilipanga Nyumba zenye familia za Wazanzibar ni wachoyo wanakula bila hata kukalibisha ni tofauti na Wa Mama wa TANZANIA BARA, Wa Mama wa Tanganyika siyo wachoyo wa chakula.
Hakuna ishu ya kurogwa , sehemu za pwani zilizochoka ni za kizamani ni miji mikongwe kabla hata watanzania wengi hawajajitambua ,umenielewa!

Ishu ya kurogwa haipo ni imani tu , nimeishi Tanga zaidi ya miaka 25 kabla y kuishi Dar ..Huo ujinga hakuna , hakuna chuki ni wewe kama unajishtukia ...Nimekaa na wageni mpake leo nimewakuta ni wazee , wengi ni makabila tofauti na wana maendeleo ...KIl siku mji unakua , sasa angali sehemu nchi unakua sio sehemu zenye nyumba za urithi .

chuki , uchawi , fitina ni mtazamano hakuna kitu kina uhalisia '. Kma Mwakinyo alivyokuw anaongea ni kujihami ila hakuna anayemchukia , sasa ni nyie weusi tu ndiyo mnarogwa :, vip kuhusu wahindi na waarabu?
 
ukipangwa kazi usukumani utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you.
Halafu sasa mwishoni; kwa kuwa wewe huna cha kuOffer - inakubidi kujiOffer kwao ww mwenyewe.😉😉
 
Yani Mtoto asahau begi uwanjani Mwalimu aliokote halafu ampe mtoto bila kumpa kipingo, mtoto lazima apinge ili kuokoa kizazi cha Ushoga na Malaya wanao jiuza.

Hakuna mwalimu anabaguliwa uchagani labda kwa watu wajinga ambao kwa Tanzania wapo kila sehemu , binafsi kuna walimu wengi wamepanga huko nyumbani hadi mashamba ya migomba tumewapa bure kabisa na nyumba hawalipi hata sumni.
Sasa ukitolea mfano wa familia moja tu haitoshi kupinga hoja za watu wengi kwenye uzi hiyo ni kama bahati tu huyo mpangaji kukutana na hiyo ofa unayoisema.
Mimi niliishi kaskazini na ikawa kila ninapoenda kupanga nyumba cha kwanza naulizwa"Wewe ni mwenyeji wa mkoa gani" hili swali nilikuwa nalichukia sana.
Lakini nilikuja kubahatika nyumba ya mwisho nilikutana na familia fulani kwanza wanajimudu sana wana nyumba nyingi halafu ni wakarimu na hawana muda wa kuchunguzana imagine nilipanga chumba kimoja master tu wakanipa flat nzima pamoja na sebule free of charge maana palikuwa na kuna masofa yalishawekwa ndani hii kitu ilinipa surprise sana baadae kuja kufuatilia kumbe ile familia wana asili ya kisukuma ile kule kaskazini waliloea tu.
 
Acha uongo wapo kibao ,hata wanawake kweny fani ...Watu wa pwani hawana title za kiheshima,vitu vingi wnaona kawaida : kuna watu wamesoma ila sio rahisi kuwajua ,majina yao ya ukoo wanatumia ya kiislam so rahisi kuwatambua hata makazini...Hapa kazini kwetu yupo engineer tegemezi ni mzaramo jina la ukoo wake ni Hassan ,unaweza kumjua ?

Nimesoma nao na wengi wako vitengo ni kawaida sana ,wanaishi maisha ya kawaida ...Wapo wadada huku kweny unesi ,wengine ni walimu sio rahisi kuwajua ,hawanaga title ni kama ushamba kwao.
watu wa ukanda wa pwani majority hawako tough kwenye angle kama uchumi ,elimu n.k wao wamejikita kwenye siasa .

mtu wa pwani anaweza kuuza eneo la urithi aknunue bodaboda
 
unachoshangaa ni nini wakati hapa niko huru kutumia rejista ya neno/istilahi/contex/sarufi/grammer nitakavyo? Elewa sipo darasani nao unakosoa sentensi hizo hizo kana kwamba nalazimika kutumia lugha, kiswahili sanifu/proper english. Hapa huwa tuko huru kutumia misamiati na maneno fulani kulingana na mukhtadha wa mada na unaandika ukiwa wapi. Sijaandika habari/makala gazetini kiasi cha kulazimika kutumia lugha na maneno sahihi, hata hivyo si kazi yangu kuhariri na kuhakiki usahihi wa maneno
Una matatizo si bure
 
hapa tunapiga stori mzee wangu, sifundishi darasani. Darasani huwa naandaa cha kufundisha kwa mujibu wa miongozo ya ufundishaji inaitwa Azimio la kazi na Andalio la somo. Darasani hukurupuki kufundisha mada, unaadaa lengo kuu na lengo mahsusi na utakaguliwa na wakaguzi na wadhibiti mambo ya elimu shuleni. Usione tunatumia maneno na sentensi za ajabu humu ukajua ndio tulivyo. Hapa ni jukwaa huru, kuna uhuru wa kutumia lugha na maneno upendavyo ila si kutweza utu wa mtu na matusi. unajua maneno kama uroda, mbunye, hogo, mkuyenge, kibamia, kunyandua na mengine mengi yasiyokuwepo kwenye kiswahili sanifu au kiingereza sanifu? haya maneno tunayatumia kwa mukhtadha wa majadiliano fulani kukwepa kuandika maneno makali tunatumia tafsida kuficha neno halisi ikiwa kuliandika ni aibu si vema! Humu hatuandiki sentensi/maneno ya lugha fulani kwa kukurupuka huwa tunajua usahihi wa maneno hayo
Humu tunajionesha umahiri na ukilaza wetu
 
Sasa ukitolea mfano wa familia moja tu haitoshi kupinga hoja za watu wengi kwenye uzi hiyo ni kama bahati tu huyo mpangaji kukutana na hiyo ofa unayoisema.
Mimi niliishi kaskazini na ikawa kila ninapoenda kupanga nyumba cha kwanza naulizwa"Wewe ni mwenyeji wa mkoa gani" hili swali nilikuwa nalichukia sana.
Lakini nilikuja kubahatika nyumba ya mwisho nilikutana na familia fulani kwanza wanajimudu sana wana nyumba nyingi halafu ni wakarimu na hawana muda wa kuchunguzana imagine nilipanga chumba kimoja master tu wakanipa flat nzima pamoja na sebule free of charge maana palikuwa na kuna masofa yalishawekwa ndani hii kitu ilinipa surprise sana baadae kuja kufuatilia kumbe ile familia wana asili ya kisukuma ile kule kaskazini waliloea tu.
Sio kwel
 
offering?? Ndio imekushangaza na kuona upeo wangu umeishia hapo? naona una bold maneno yangu kwa rangi nyekundu kuwa nimeandika kimakosa huku mimi ni mwalimu wa lugha hiyo! Hapa niko huru kuandika nitakacho ikiwa tu sivunji terms and ruleles za humu. Sifundishi lugha sahihi ya kuandika humu. Humu huwa tunatumia maneno na sentensi za ajabu ajabu mradi tu zinaeleweka kwa unaojadili mada na wao, hatuangalii makosa ya sarufi na miundo ya sentensi iwe kiswahili sanifu au kiingereza, tunachosoma ni mukhtadha wa mada tu
Pole, kama ni mwalimu; hii ni hatari
 
mind kuwa Kilimanjaro yote si ya wachaga na wapare tu kuna vieneo vina makabila mengine kama wakahe, waarusha na wamasai huko ukanda wa chini moshi vijijini
Wakahe
mind kuwa Kilimanjaro yote si ya wachaga na wapare tu kuna vieneo vina makabila mengine kama wakahe, waarusha na wamasai huko ukanda wa chini moshi vijijini
Wakahe wakienda mjini wanajitambulisha kama wapare
 
Hawapendi Maendeleo na wanapenda Ushirikina ukifungua Biashala au jengo zuri kwenye maeneo yao hawapendi ila wana furahi kuishi kimasikini kwa kificho cha Dini, wakati waarabu wenye Dini yao hawaishi kama Muislam wa MBURAHATI.
Sasa ukienda kuishi pwani unatakiwa uwe mjanja kwenye kuchagua location ambayo ina unafuu kidogo kwenye kimaendeleo.
Kwa mfano wewe unataka kununua kiwanja halafu unaenda kuchagua sehemu ambayo nyumba zote zilizokuzunguka hapo ni za udongo halafu wewe peke yako ndio unaweka mjengo wa kisasa unaezeka Msouth unadhani nini kitatokea.
Hiki kitu ndicho kinachomsumbua Bondia Hassan Mwakinyo kwa sasa ameenda kujenga/kupanga Uswahilini yaani yeye peke yake ndio Mshua na hana muda nao anawatenga unaona wanavyomsumbua sasa mwisho wa siku nyumba ataiona chungu ataikimbia
 
Kitu gani sio cha kweli?sio kweli kwamba sijaishi kaskazini?Au sio kweli kwamba sijawahi kupanga kaskazini?sio kweli kivipi leta hoja au unataka kusoma watu wote humu wanaotoa ushuhuda kwenye huu uzi ni waongo?
 
Wakahe

Wakahe wakienda mjini wanajitambulisha kama wapare

Kitu gani sio cha kweli?sio kweli kwamba sijaishi kaskazini?Au sio kweli kwamba sijawahi kupanga kaskazini?sio kweli kivipi leta hoja au unataka kusoma watu wote humu wanaotoa ushuhuda kwenye huu uzi ni waongo?
Mikoa yote inayo watu wa hovyo na wenye ukabila , pia lipo kundi la wachaga hawana shida na mtu zaidi ya upendo .
 
Nashukuru sana kwa kunielewa ,hakuna mchaga anapenda nyodo , ukijishusha utawafaidi sana wachaga ,wanakua kama mazuzu tu.
mi si mchaga ila nilipendwa sana uchagani wakawa wananiita Mangi. Niliowakuta kazini wamestaafu lakini bado tunawasiliana nao. Walinifanya nikaijua Kilimanjaro yote
 
Haya mambo yapo kila mahali isipokua mjini... Hata biasha ukiifanya kijiji ambacho wewe ni mhamiaji hakuna rangi utaacha kuona 😁
 
Back
Top Bottom