Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Mikoa yote inayo watu wa hovyo na wenye ukabila , pia lipo kundi la wachaga hawana shida na mtu zaidi ya upendo .
Kwani asiyejua kuwa kila mkoa hawakosekani watu wa hovyo ni nani?ukiona mkoa wenu unaongelewa kila wakati ujue hiyo tabia imepitiliza,hao wazuri unaowasema labda ni watu 100 kwa 1 kwa uwiano kitu ambacho ni negligible.
Kwa nini isitajwe mikoa mingine kama Iringa,Dodoma,Songea na kila siku unatajwa mkoa wenu tu?
 
mi si mchaga ila nilipendwa sana uchagani wakawa wananiita Mangi. Niliowakuta kazini wamestaafu lakini bado tunawasiliana nao. Walinifanya nikaijua Kilimanjaro yote
Wachaga tuna upendo mkubwa hasa kwa mtu wa kuja ,na huwa tunajivunia kukuonyesha upendo ili ujue kabisa sie tupo tofauti na mnavyo tufikiria na kama nikujiweza kibongo bongo tupo vizuri insha Allah, japo hayupo🤔
 
Kwani asiyejua kuwa kila mkoa hawakosekani watu wa hovyo ni nani?ukiona mkoa wenu unaongelewa kila wakati ujue hiyo tabia imepitiliza,hao wazuri unaowasema labda ni watu 100 kwa 1 kwa uwiano kitu ambacho ni negligible.
Kwa nini isitajwe mikoa mingine kama Iringa,Dodoma,Songea na kila siku unatajwa mkoa wenu tu?
Wewe haujui kitu kuhusu wachaga mwachie LOTH HEMA labda kidogo
 
kuna ofisa mmoja mchaga alinipa elfu kumi nikanywe chai wakati nasubiria suala langu lishughulikiwe pale KDC. Wale maofisa wote wachaga walini brand kama Icon kuweza kufanya kazi nzuri katika kituo nilichopangiwa. Wilaya nzima ya Moshi nilionekana ni wa tofauti na wafanyakazi wa aina yangu mpaka nikatunikiwa cheti na fedha kwa ufanisi wa kazi. Kilimanjaro ndio nilipapenda kufanya kazi huko ingawa sikupajua awali. Nilipangiwa Kagera huko Ngara ila baadae nikajikuta nimepangiwa Kilimanjaro, mkoa niliopenda kufanya kazi kutokana na mwamko mkubwa wa kielimu huko
 
kuji offer kwao ni kutoa huduma safi za kitaaluma, au una maana nyingine ya kuji offer?
Maana iliyopo ni wewe kujiolesha kimasihara kwao kama sehemu ya ww kulipa fadhila ya walichowekeza kwako- kama nimekunukuu vyema hapa "utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you".
 
Huko huko Kilimanjaro vipo vijiji vina wakazi wake ni dini fulani wazazi hupenda zaidi watoto wao wafundishwe walimu wa dini yao. Sipati picha huko Pangani, Kilwa, Mafia, Mkuranga hali ikoje kwa mwalimu asiye wa dini ya wenyeji kufundisha watoto wao. Maeneo mengine ya nchi hali ni shwari hakuna ukabila wala udini, walimu ni changanyikeni
Acha udini wewe mjinga! Sehemu yenye waislamu wengi hamna udini wala ukabila
 
watu wa ukanda wa pwani majority hawako tough kwenye angle kama uchumi ,elimu n.k wao wamejikita kwenye siasa .

mtu wa pwani anaweza kuuza eneo la urithi aknunue bodaboda
Acha uongo wako ww ,watu wa pwani wako kote sio rahisi kuwajua ...Yule Gsm kakuliw hapa Tanga unataka kuongea nn .

Wapo kibao huku wana pesa sio rahisi kuwajua ,wanashinda na kanzu hawanaga ushamba kama watu wengine.
 
Wewe haujui kitu kuhusu wachaga mwachie LOTH HEMA labda kidogo
Wachaga nimeishi nao kaskazini na ukiachana kaskazini hata majirani zetu nyumbani kuna wachaga wengi tu.
Wewe utakuwa hujatembea umezaliwa uchagani ukakulia uchagani ndio maana unahisi tabia za kwenu ziko sawa kwa sababu hujui jamii zingine zinaishi vipi huwezi ukauona utofauti.
Mimi Tanzania bara nimeivuruga mzee najua Tamaduni karibia za mikoa yote Tanzania huna cha kunidanganya.
 
Wachaga tuna upendo mkubwa hasa kwa mtu wa kuja ,na huwa tunajivunia kukuonyesha upendo ili ujue kabisa sie tupo tofauti na mnavyo tufikiria na kama nikujiweza kibongo bongo tupo vizuri insha Allah, japo hayupo🤔
Wachaga nilwahi kuishi nao ni wazuri hao wa hovyo sijawahi kukutana nao ,kuna mmoja tu alinitapeli pesa zangu ...Yote hayo watu wa hovyo ni wachache sana ila ubaya wao unaleta maumivu sana kwa wengine.
 
kuna ofisa mmoja mchaga alinipa elfu kumi nikanywe chai wakati nasubiria suala langu lishughulikiwe pale KDC. Wale maofisa wote wachaga walini brand kama Icon kuweza kufanya kazi nzuri katika kituo nilichopangiwa. Wilaya nzima ya Moshi nilionekana ni wa tofauti na wafanyakazi wa aina yangu mpaka nikatunikiwa cheti na fedha kwa ufanisi wa kazi. Kilimanjaro ndio nilipapenda kufanya kazi huko ingawa sikupajua awali. Nilipangiwa Kagera huko Ngara ila baadae nikajikuta nimepangiwa Kilimanjaro, mkoa niliopenda kufanya kazi kutokana na mwamko mkubwa wa kielimu huko
Karibu moja kaka ukirudi tena nishtue nikupe sehemu ya kukaa bure yenye viwango
 
Wachaga nimeishi nao kaskazini na ukiachana kaskazini hata majirani zetu nyumbani kuna wachaga wengi tu.
Wewe utakuwa hujatembea umezaliwa uchagani ukakulia uchagani ndio maana unahisi tabia za kwenu ziko sawa kwa sababu hujui jamii zingine zinaishi vipi huwezi ukauona utofauti.
Mimi Tanzania bara nimeivuruga mzee najua Tamaduni karibia za mikoa yote Tanzania huna cha kunidanganya.
Kaka unaongea upotoshaji mimi ni mchaga na pia nimezunguka sio haba
 
kuna maeneo nchi hii ukipangiwa kufundisha huko unakuta wanafunzi ni wa dini fulani, watoto wana dharau balaa wanaona wanafundishwa na kafiri, hawazingatii unachowafundisha
Kwa udini huu sijui wanafunzi wa kiislamu kama wanapata elimu zaidi ya kuwapa masimamgo tu! Hivi waislamu walikufanya nini?
 
Watu wapwani wabaya sana wanapenda kurogana na awependi kuona Maendeleo ya mtu ndiyo Maana sehemu wanazoishi jamii ya pwani kukuta maendeleo binafsi ya mtu ni ngumu utakuta mtu ana pesa lakini anaishi maisha ya hovyo anaish kwenye Nyumba ya siyo nzuri, Nilishi Zanzibar nilipanga Nyumba zenye familia za Wazanzibar ni wachoyo wanakula bila hata kukalibisha ni tofauti na Wa Mama wa TANZANIA BARA, Wa Mama wa Tanganyika siyo wachoyo wa chakula.
hilo ni kweli hata mimi nakuunga mkono hawa watu ni wachoyo sana
 
Maana iliyopo ni wewe kujiolesha kimasihara kwao kama sehemu ya ww kulipa fadhila ya walichowekeza kwako- kama nimekunukuu vyema hapa "utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you".
naona unaleta matusi sasa, sitaki kuharibu uzi, vinginevyo ungekula za uso sasa hivi ushike adabu zako
 
Back
Top Bottom