Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

Uko sahihi.
Hata mimi nilikuwa nacheza nao kwa staili hii ya kuonyesha umuhimu kwenye jambo fulani ndipo nikaweza kusurvive kwa miaka kadhaa
 
Hiyo nzuri mkuu kuliko kulalamika sana. Sometimes huwezi wabadilisha watu ili wawe unavyotaka Ila unaweza ji_tune ili uishi na watu fresh
 
ukipangwa kazi usukumani utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you.
Umesema unafundisha English?
 
Hiki kichaka mnachotumia kama kisingizio ni kichekesho. Ni uzembe kuandika vibaya, hasa kwa wewe uliye mwalimu wa lugha. Unapungukiwa nini ukifanya kitu kwa ukamilifu?
 
sipingani na hoja yako, nadhani utakuwa umeona uandishi wa meseji/arafa zinavyoandikwa hovyo kwenye simu. Sasa ni mwalimu gani wa lugha tena kijana ataandika arafa kwa lugha sanifu?
 
Reactions: Cyb

Haidhuru, tujitahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…