Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa


Nimefika Moshi na Arusha ndizo sehemu nilizozilenga hapo.
Hao wa Tanga,Manyara waondoe na ndio maana kama ulifuatilia comments zangu zote kuna mahali nimewasifia watu wa Tanga na Manyara wenyewe wako vizuri.
Siwezi kudanganya hata kidogo yote ninayoyaongea hapa yamenitokea na kuyashuhudia ukweli usemwe tu tuweke ushabiki pembeni.
Upande wa Arusha hapo ukiingia mitaani na maofisini bado kuna asilimia kubwa ya watu wa kutoka Moshi/Kilimanjaro, wafanyabiashara wengi pia ni wa kutoka Moshi/Kilimanjaro utawatambua kiurahisi tu kwa majina yao na lafudhi yao.
 
nimesema silei ujinga shuleni. Darasa langu hufaulu wote, naeleweka vema kwa wanafunzi wangu sitanii, naona bado unashangaa tu, hebu nenda VETA ukajifunze ujuzi, acha kunishangaa mi mwalimu mjuvi wa mambo mengi kuliko walimu uliowahi kuwaona
Mwalimu mpumbavu wewe
 
Waone wanavyoona bwashee binafsi mimi marafiki zangu ni wahaya wasukuma , wapare watu wa Dom singida na wangoni
Huu ni ubaguzi 😁😁 kwa hiyo si wengine hatuna quality bro
 
ukipangwa kazi usukumani utakula shushu, ni ofa kwa kwenda mbele, mara uletewe maziwa, mara nyama, mara matunda, each and everything they offering you.
Bure tuuu ama kulipia ni mbele ya safari??
 
Eti na wao huwa wanamsema vibaya Nyerere.

Wangekuwa nchi, au Nyerere asingeua umangi na uchifu hicho kiardhi chao kiduchu wangeuana waishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…