Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

Jenga hoja kwamba walimu hawalipwi hela ya uhamisho,ila si walimu kuuza kuku na mbuzi! .. ili wapate hela ya kuhamia kituo kingine cha kazi!. Ulitaka wahame pamoja na kuku na mbuzi wao? …..Je! mazingira wanayo hamia kuna miundombinu,…itakayo waruhusu kwenda na mifugo?.Asilimia kubwa hairuhusu,…..hivo ni lazima waiuze…maana hawataweza kuifanya nyama.
 
great thinker
 
Sasa kama Nchi iko kimkopo unategemea nini,haiwezekani wanajua SOKO la bidhaa zote na wanajua a wananchi wanajituma.kwan nguvu lakini wanaishia kwa kikomopo umiza kama sisi tunavyoumizwa alafu waachwe salama sijawahi ona Nchi isiyo na dira kama Tz,watawala wanafurahi kukaba makoo ya watu na hatimae wanaenda kwa Togolani kukopa,this is mean,sii Bora tulime kilimo cha wajakoya.Wanavuta Kodi alafu mifumo ya kusamba fedha inafungwa
 
Inasikitisha sana tena sana ila pipa wakakwea halafu ndiyo wasimamizi wa uchaguzi dah yaani ningekuwa Mimi yaani mwl kima cha chini mshahara ingekuwa mil 10. Nyumba bure, bima ya maisha na kusomeshewa bure
 
Lakini si ndio wapenzi wa chama tawala hawa?
 
Tatizo afisaelimu mkoa wa Kilimanjaro,anaishi Dar, akifuatilia 10% ya mitihani ya mock mkoa, inayochapishiwa Dar.

Hana muda wakusikiliza KERO za walimu Rombo.

Mitihani hii,inachapishiwa Dar, na kusafirishwa kwenda Kilimanjaro.
 
Ndiyo maana ya kuitumikia serikali waliyoichagua
 
Ila mkuu hivi hiyo mipaka imebadilika kwa umbali upi hadi wastahili kulipwa?
 
Lakini si ndio wapenzi wa chama tawala hawa?
Sidhani kama ni wapenzi wa hiari wa ccm bali wanalazimika kuwa hivyo.
Waalimu wamefanywa masikini na serikali ya CCM kwa kulipwa masilahi kidogo ili waishi kwa kutegemea hisani ya serikali.

Kwa hali hiyo serikali inawatumia kama misukule huku ikiwapa bakshishi kidogo, walimu nao wanashangilia kama mazuzu kwa vile hawana jinsi.

Wakulaumiwa sana hapa ni hivyo vyama vyao kwa kushindwa kabisa kumtetea mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…