Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

Watawakana na kuwapoteza lakini ukweli ndio huo, kule kuna ofisi zina majina mazuri lakini wamejaa majambazi tu. Hapa Mola ametumegea kidogo tu.
 
Mambo yameanza kufunguka miti imeanza kuteleza, watatajana tu wote na kila siri itajulikana.
 
Sasa mbatia mwenyewe si kitengo,au vitengo huwa hawajuani?.
 
CCM wana kibali cha kufanya ugaidi watakavyo nchi hii. Hao hawatafanyiwa kitu chochote. Sana sana watapandishwa vyeo. Nyerere alisema watu wanapoishiwa sera basi ufanya mambo ya aina hii ili kujipatia uhalali. CCM wameishiwa sera na uhalali. Tegemea lao ni NEC, Msajili, polisi, TISS... dhidi ya umma. Umma umejitambua sasa.
 
Hahahahaha kamzee Ole sabaya
 
Hawa nadhani kuwapeleka polisi kisha sheria kufata mkondo haitoshi asee,yaan hawa ni unakamata unawafanyia yaleyale waliyokuwa wanawafanyia wenzao kwa zana zao zilezile. Mkimaliza sasa ndo mnafanya kubwa kuliko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…